Hatimaye sehemu ya Hoteli ya Snow Crest yabomolewa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.

Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
 
Ungetutajia ilipo ingekuwa poa zaidi
 
Kwa mwenye picha zaidi atuwekee
 
Nafikiri ipo arusha sanawari karibu kabisa na kona ya kushuka kuelekea jengo la mikutano la aicc au mount meru hospital
 
Ungetutajia ilipo ingekuwa poa zaidi
Ipo jijini Arusha.

Kwa wanaokumbuka hoteli hii ilitakiwa kuvunjwa few weeks baada ya kuzinduliwa na JK...kipindi hilo JPM alikuwa ni waziri wa Ujenzi.

Na mhusika wa kutaka kuivunja kipindi kile nadhani alihamishiwa mkoa mwingine
 
Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.

Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Kichwa cha habari na habari yenyewe vitu viwili tofauti.
Shirikisha kichwa chako kuandika habari.
 
Eneo lote lililoingia kwenye hifadhi ya barabara limevunjwa na ujenzi wa barabara unaendelea.

Ikumbukwe kuwa miaka takribani kumi Mh Magufuli aliitaka hoteli hii kuvunja sehemu ya hoteli hiyo kwani ilikuwa kwenye hifadhi ya barabara lakini kulitokea ubishi na mapingamizi.
Jingalao tunaomba utuwekee picha
 
Nafikiri ipo arusha sanawari karibu kabisa na kona ya kushuka kuelekea jengo la mikutano la aicc au mount meru hospital
Snow crest ipo Arusha ndio ila sio sanawar hiyo unayoisema ipo sanawar ni naura spring. Snow crest iko ngulelo kabla hujafika kwa mrefu iko pemben ya barabara
 
Wamebomoa hotel au kile ki ukuta sijui fence iliyoko karibu na barabara ??
 
Attachments

  • IMG-20160123-WA0014.jpg
    IMG-20160123-WA0014.jpg
    176.2 KB · Views: 128
Kwa upanuzi wa barabara unaoendelea jiji, hili lilitarajiwa na hakuna sheria au mahakama ya kuliokoa!
 
Back
Top Bottom