Hatimaye safari za JK kuongezeka...

Status
Not open for further replies.

Terrire

Member
Jul 13, 2011
88
9
Jamani…… Jamani……… Jamani

Huyo Mkubwa wa visiwa vya Comoro Kaja kumpa pole JK, je msiba ni wa jamaa au watanzania wote?!

Halafu sasa isitoshe kapita tu njia kuelekea Ulaya kwenye vikao vya wakubwa. Sasa ndo tuseme kampitia jamaa waende wote au tumweleweje sasa.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Jamani…… Jamani……… Jamani

Huyo Mkubwa wa visiwa vya Comoro Kaja kumpa pole JK, je msiba ni wa jamaa au watanzania wote?!

Halafu sasa isitoshe kapita tu njia kuelekea Ulaya kwenye vikao vya wakubwa. Sasa ndo tuseme kampitia jamaa waende wote au tumweleweje sasa.

Totally confused mkuu,your thread needs some changes and clearly arrangements,but much more connection of ideas eg How is the coming of Comoro's President may led to increasing of JK's movement outside the country? etc...because your a new member to this forum,then I suggest to you to explore experiences from other experienced member on how to write and to present constructive threads.Otherwise it is a good start!!
 
Terrire

Member
Jul 13, 2011
88
9
Totally confused mkuu,your thread needs some changes and clearly arrangements,but more connection of idea...because your new member I suggest to your to explore experiences from other experienced member on how to write and to present constructive threads.Otherwise it is a good start!!

Thanks Only83 I notice that, nimepost kwenye wrong wall! Sorry for all JF members
 
ngwendu

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
1,965
174
Jamani…… Jamani……… Jamani

Huyo Mkubwa wa visiwa vya Comoro Kaja kumpa pole JK, je msiba ni wa jamaa au watanzania wote?!

Halafu sasa isitoshe kapita tu njia kuelekea Ulaya kwenye vikao vya wakubwa. Sasa ndo tuseme kampitia jamaa waende wote au tumweleweje sasa.
uharo mengine bana!unabore.
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,334
Jamani…… Jamani……… Jamani

Huyo Mkubwa wa visiwa vya Comoro Kaja kumpa pole JK, je msiba ni wa jamaa au watanzania wote?!

Halafu sasa isitoshe kapita tu njia kuelekea Ulaya kwenye vikao vya wakubwa. Sasa ndo tuseme kampitia jamaa waende wote au tumweleweje sasa.
Sasa kiongozi wa comoro ulitaka akufuate wewe akupe pole? Pole anapewa rais wa nchi kwa niaba ya wananchi wake,umetokea wapi wewe?
Hizo hoja zako zinavuja.
Kajipange upya kama shida yako ni kupinga kila kitu.
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
17,134
25,159
Atakuwa amekusoma mkuu.

Totally confused mkuu,your thread needs some changes and clearly arrangements,but much more connection of ideas eg How is the coming of Comoro's President may led to increasing of JK's movement outside the country? etc...because your a new member to this forum,then I suggest to you to explore experiences from other experienced member on how to write and to present constructive threads.Otherwise it is a good start!!
 
Terrire

Member
Jul 13, 2011
88
9
Am very sorry for all JF members for my Thread! Next time i will try to ma level best
Am so sorry!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom