Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
amejiedit sana unaweza kukuta alikuwa mweusi kama gari la rami
Mpwa hawa wengine wakiwa na mirangi rangi kule IG na wamejibinua uku ki-mguu kakibetua lazima udate sasa ukimuona laivu noma bora uanze upya.Hahahahahahahaha....umefanya nicheke mpaka basi..kwahiyo bora kuanza upya kuliko kuachiwa mikosi