Elections 2010 Hatimaye Ritta Mlaki abwaga manyanga jimbo la Kawe....

atapewa UDC wilaya ya korogwe hivi karibuni, ili wakubwa wakienda ziara mkoani tanga, basi wapate mahali pa kupumzika, yule wa lushoto si mnamkumbuka eeh,, chakuraaaaa.

Ni wilaya ya Lushoto siyo Korogwe (msisitizo)
 
Wizara yenyewe imejaa watumiaji kibao, labla wapitishie Angaza. Jamaa pale hawaogopi kusema waziwazi. Huu ugonjwa ni janga la Taifa kama walivyoutangaza lakini hawauogopi tena. Ukimuona mkeo anashiriki sana mambo ya chama jua si riziki, hakuna ethics kabisa kwenye mambo ya vyama na hasa kile chama chenye watu wanaoweza kukupatia nafasi ya ulaji. Watu wanajuana nani ni wa nani na wakati huohuo watu hao ni wana ndoa.

Unalosema ni kweli kabisa ndugu yangu. Ukiona mkeo kajiingiza sana kwenye siasa hasa za chama kile kinaitwa chama twawala basi ujue uko hatarini.
Namfahamu mtu mmoja ambaye mkewe alijiingiza sana kwenye siasa za chama hiki na mmewe hakupenda kabisa. Watu hawa wako kanda ya ziwa katika mkoa mmoja wapo.
Baada ya vuta nikuvute kati ya wanandoa kuhusiana na maswala ya ukeleketwa na ujumbe sijui wa halmashauri gani za chama kushindikana kati ya wanandoa hawa, ndoa yao iliingia doa kubwa na ilielekea kuvunjika kabisa.
Mwanaume kwa kushuku nyendo zisizoridhisha za mkewe aliamua kukaa naye lakini akaamua kutoshirikiana naye katika maswala ya master bed room.
Baada ya kama mwaka mmoja yule mwanamama akaukwaa ukimwi na hivi ameshakufa miaka mingi lakini mmewe akabaki salama. Mme alisema kuwa haya yote mkewe amekutana nayo huko kwenye vikao vyao vya halmashauri kuu kitu alichomzuia toka mwanzo na kuwaletea mtafaruku mkubwa.
Nakubaliana na hoja yako kutokana na kisa hiki cha ukweli.
 
ANAVAA VIKUKU? huu unaweza kuwa unafiki na maneno yasiyo na ukweli ndani yake....! MTUMISHI WA SERIKALI ANYEBEBA DHAMANA YA TAIFA HAWEZI VAA VIKUKU....!
 
Mdee is nothing. Adamjee anapesa ndefu 2005 alikua na budget ya 500,000 USD sasa jiulize 2010 inakuaje.. Hakuna mdee wala kitu gani
 
Na apumzike kwa amani mama huyo ambae ajafanya chochote huku kawe- jamani tuwe makini uchaguzi ujao.
 
Mh! yaani kumbe mhe. Mdee ndio kamkimbiza huyu mama dah kweli kazi ipo oktoba majimbo ya uchaguzi yatakuwa hayatoshi


Sio huko tu; natumai kuwa bunge la 2010 litakuwa la vijana wengi zaidi! Na tuwaunge mkono vijana wote bila kujali itikadi; Ni hatua mojawapo ya mabadiliko tunayotaraji pia!
 
ANAVAA VIKUKU? huu unaweza kuwa unafiki na maneno yasiyo na ukweli ndani yake....! MTUMISHI WA SERIKALI ANYEBEBA DHAMANA YA TAIFA HAWEZI VAA VIKUKU....!


Asa kama wamemwona nanvyo? Wadau mlioko mjengoni leteni Picha kuthibitisha hili!
 
Vyama vyote tuweni wakweli. Wanawake wote wanatabia moja bila kujali itikadi hasa linapokuja suala linapohusu maslahi yao. Naomba isisomeke kama ni udhalilishaji wa kijinsia lakini habari ndio hiyo wapo ambao waliopoteza ndoa zao/wake zao/waume zao kwa kujiingiza kwenye siasa majina tunayo. Ila ukiongea tu utaambiwa unaingilia uhuru wa mtu wa kujiamulia.
 
Back
Top Bottom