Hatimaye Ritta Mlaki abwaga manyanga jimbo la Kawe.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Ritta Mlaki abwaga manyanga jimbo la Kawe....

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pascal Mayalla, Jun 29, 2010.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Kawe, Rita Mlaki, ametangaza rasmi kutogombea tena jimbo la Kawe.

  Rita Mlaki ametangaza kutogombea huko akiwa Bungeni mjini Dodoma, wakati akichangia makadirio ya Bajeti ya Miundombinu yeye akiwa ndie nchangiaji wa mwisho kabla kikao cha asubuhi hakuijaahirishwa mpaka saa11 jioni.

  Mama mlaki ametumia fursa hiyo kuwaaga wabunge na wana Kawe kwa ujumla, japo hakuifanyia chochote Kawe, kuaga ni ustaarabu, tunamshukuru kwa hili.

  My Take:
  Huyu ni mmoja ya wabunge wachache aliyewa kusoma wazi wazi dalili za nyakati na kuamua kujikali kando kabla wana Kawe, hawajuweka kando na CCM yake.

  Kutogombea kwake, kunamuweka pabaya Halima Mdee maana sasa itategemea CCM wanamsimamisha nani.
   
 2. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi Halima Mdee agombea jimbo gani?
   
 3. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Amefanya la maana, tumemchoka kabisa huku kwetu na hata angegombea asingerudi.
   
 4. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Anagombea Kawe, tunamkaribisha na yeye na sera zake. Maji ni tatizo kubwa sana huku kwetu japo sasa nafuu.
   
 5. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kawe sasa ifanye mabadiliko kwa kuchaguaa upinzani..achenii kurudiaa makosaa..

  nampongeza mh rita mlaki kwa uamuzi wa kupumzikaa siasa.
   
 6. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo mama alishajichokea zake. Hivi bado huwa anavaa vile vimini vya 'kufa mtu' na vikuku?
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ameogopa kupambana na mdee
   
 8. bht

  bht JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  thatis very clever of her
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Off course hii ndio dressing yake, amejaaliwa mguu wa kufa mtu, shepu ya Kiafrika, kwanini asivae mini?. Tena rangi zake ni always colourful!.

  Hakujichokea, bali alikuwa na nguzo fulani aliyokuwa akiitumia kama egemeo, hiyo nguzo ilianguka, hivyo akabakia akitafuta egemeo jingine, baada ya kukosekana, amekubali yaishe, nadhani atamsaidia bintiye kuimarisha zaidi 'Casandra'.
   
 10. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mh! yaani kumbe mhe. Mdee ndio kamkimbiza huyu mama dah kweli kazi ipo oktoba majimbo ya uchaguzi yatakuwa hayatoshi
   
 11. Nyuki

  Nyuki JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halima bado hajakomaa,hoja zake ni copy and paste
   
 12. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mzee Malecela na yeye inabidi afuate nyayo
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nachukua fursa hii kumpongeza sana mama Mlaki, she was never my favourite leader lakini kwa hili ameonyesha upevu ambao majority ya CCM leaders hawana!!! kibaya zaidi kuna wengine wanadiriki kusema "wamekuja kuninyang'anya jimbo langu".... jimbo langu my a$$

  Nachukua nafasi hii pia kutoa rai kwa wabunge wengine wengi ambao hakuna walichofanya, kufuata maamuzi ya kikomavu aliyofanya ritha... mfano; Zungu, malechela, ngasongwa, mkuchika, keenja, mrema, mahanga, ngeleja, masha, zabeni mhita, mama mbega, nk. kuachia ngazi na kuruhusu mabadiliko ya kweli ya kidemokrasia

  pia si vibaya akina lipumba nao kugundua once beaten, twice shy, thrice shame four time ni idiocy

  DN
   
 14. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2010
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Subiri jamaa ES aione hii post yako utashambuliwa mpaka utashangaa mtu yule yule ila ids kibao.
   
 15. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kuna mema yoyote ya kukumbukwa aliyotenda wakati akiwa mbuge au ndo kaona uwezekano wake kuchaguliwa tena haupo ndokatangaza kuachia ngazi mapema ili asiaibike
   
 16. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole mzee, kwa kuwa uko tayari kuwavumilia yale mazee ya CCM mule bungeni yanayolala siku nenda rudi na kumtolea macho huyu binti shupavu unayedai ana copy na kupaste. Hebu niambie kitu kimoja ambacho wewe ume invent mwezentu? Naudia pole sana kwa kuwa na ufahamu uliyo karibu na malaria Sugu
   
 17. J

  Jafar JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Yaaani maneno yake hayo aliktakiwa aseme JK - walahih ningetembea mtupu kutoka chumbani hadi sebuleni
  Sijui anangoja nini?
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ES weshamziba domo.... sikuhizi ni koplo ES na si field marshal ES tena... hata ile sauti ya umeme imekua vocal la kijiko [joke]
   
 19. N

  Nangetwa Senior Member

  #19
  Jun 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siasa ni kama mchezo wa kupokezana vijiti. unakimbiza awamu yako na ukifika wakati unamwachia mwingine. Hakuna mtu mwenye umiliki na jimbo.
   
 20. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  Mkuu Pasco na Shalom,

  Kwa kipimo halisi cha Mbunge - Kwa mtizamo wangu Halima Mdee bado sana - hajakomaa hata kidogo. Hawezi kujenga hoja na pia anao mtizamo wa kati kwa kila suala analolizungumiza (nimemwona mara kadhaa kwenye bunge na hata TV shows esp TBC)

  Tusiwe mashabiki wa kupeleka vijana bungeni - tukaishia kupeleka "magarasha" - Nyinyi kwenye vyama vyenu mnafahamu ni vijana wapi wazuri ambao wanaweza kuleta tofauti.

  BTW: Habari nilizonazo ni kwamba CCM wanamsimamisha Kippi Warioba kwenye jimbo la Kawe - huyu naye kwangu si mkomavu wa kutosha katika nyanja ya siasa na uchumi.
   
Loading...