Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,046
Kuna watu wanatetemeka kwa kufunguliwa redio imaani
Hii redio huwa naisikiliza kama redio ya vichekesho hasa hasa vile vipindi vyao vya Jumapili asubuhi.......
Kuna watu wanatetemeka kwa kufunguliwa redio imaani
Serikali haikupaswa kuifungia kwa muda hii Station, ilibidi IFUTWE kabisa. Mtu hata History hajasoma wala hana elimu yoyote ila anajifanya kuchambua siasa kama anaijua.
takbirrrrrr takbirrrr allahu akbaru.mwenyezi mungu ajalie kheri hiyo.