Hatimaye nimeweza,ila kuna jipya...

hiyo ni vita ambayo haizimiki listen to me noella i have passed the same exactly way na wewe unayopitia an seems my was so difficult than yours and i was not having anybody to say just go this way niliamua mwenyewe .pliz its too early wewe kuanza uhusiano wait and see ndugu yangu pliz pliz hebu tulia relax ndugu yangu hat 3years .kha utajitafutia matatizo weee uje tena kulalama.
 
Last edited by a moderator:
Huu muda ungeutumia kutafuta Solution na Mume wako ili mrudiane na kupena misingi ya maisha mazuri na yenye amani. Sio kuangaika na kutafuta Mwanaume mwingine.

Tumesikiliza story ya upande mmoja lakini naamini na wewe ulikua na mapungufu yako ndio maana mlikua mna kwaruzana aidha kwa kulipizana kisasi au sababu nyingine.

Pliz Think of a single parent family na Mtoto wako.
 
Huu muda ungeutumia kutafuta Solution na Mume wako ili mrudiane na kupena misingi ya maisha mazuri na yenye amani. Sio kuangaika na kutafuta Mwanaume mwingine.

Tumesikiliza story ya upande mmoja lakini naamini na wewe ulikua na mapungufu yako ndio maana mlikua mna kwaruzana aidha kwa kulipizana kisasi au sababu nyingine.

Pliz Think of a single parent family na Mtoto wako.

Asante kwa ushauri ila hata iweje na Mungu aniepushie siwezi kumrudia jamani duuh huwezi jua what i went through. for now nina concentrate na maisha yangu na mwanangu tu.
 
hapo ndo wanawake wanaponifurahisha

eti kipindi chote nilikuwa sijui keshanipenda lol

women bana ....natural actresses .....

sasa unakubali vipi kutambulishwa kama mke mtarajiwa na wewe hujakubali bado??
 
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
hapo ndo wanawake wanaponifurahisha

eti kipindi chote nilikuwa sijui keshanipenda lol

women bana ....natural actresses .....

sasa unakubali vipi kutambulishwa kama mke mtarajiwa na wewe hujakubali bado??

The boss, rejea post yangu namba 8..nimesema ananitambulisha kama best friend na si mke mtarajiwa ila wakiondoka anasema hakutaka kusema more than that coz anaheshimu mawazo yangu kwa sasa..we might be natural actresses but i can not act on my future.
 
sasa nimekuelewa....sina uhusiano nae wa kimapenzi ni rafiki tu wa muda mrefu, yeye ndo anakuja speed na gia za mahusiano na kunitambulisha kwa watu wake but huwa anasema "she is my best friend"..i told him mi sipo tayari na mahusiano kwa sasa.

Wewe kama unaweza jaribu kukaa mwenyewe tu, punguza contact nae maana anaonekana anakuburuza mwisho mihemko ikikuzidia, siku si nyingi utajikuta uko mikononi mwake. Kaa tulia, kubaliana na hali yako kwa sasa, then chukua maamuzi.It is too early kuingia kwenye relationship mpya.
 
Shostito najua kinachokusumbua,unaweza kuanzisha realtion na huyo kijana kwa nia ya kukata kiu ya mapenzi tu wengine wanaita kutoa kichomi.Ila suala la kuolewa fuata ushauri wa hao wengine jipe muda.
 
Asante kwa ushauri ila hata iweje na Mungu aniepushie siwezi kumrudia jamani duuh huwezi jua what i went through. for now nina concentrate na maisha yangu na mwanangu tu.

what if akibadirika na ukaona kabisa kabadirika, kuna tatizo gani la kurudiana nae mzazi mwenzako? Au usikute kijana rafiki yako alitia sumu kali hadi huwezi kusamahe. Ni vizuri sana kukaa na baba wa mtoto wako.. huwezi jua huyu jamaa atakuja kukaa vipi na mwanao.. sasa hivi anaweza ku act akitaka tunda, akikutia mikononi ndo utajua haswa yuko vipi.Tumia muda huu kumsoma na uwe makini sana.Mimi mwanaume najua tunapotaka kuua tuna fanya nini.. we can do anything... na kwa wewe sasa hivi uko vulnerable kwani umetoka kwenye maumivu moyo wako unahitaji pumziko, na pia mwili wako soon utahitaji kupozwa kama bado.
 
Mhh ni mapema mno ni busara kama utajipa muda. Pia nalazimika kutokuamini kuwa huyo kijana anakupenda, wazo langu ni kuwa isije ikawa anataka kuutumia mwili wako tu kwa tamaa zake mwenyewe baada ya kupata loop hole ya wewe kuachana na mumeo.
Kuwa makini na jiepushe na mahusiano kwa sasa.
 
huyo mwanaume kama anakupenda kweli,anatakiwa akupe muda ujipange upya,usije kuruka mkojo ukakanyaga ma_i!halafu haya mambo ya kukutambulisha fastafasta angalia asije kukuzibia!
 
Wandugu natumai mu wazima.

Ni mwezi mmoja na nusu umepita tangu nifanye maamuzi magumu ya kuachana na baba mtoto wangu.
Ila pia ni mwezi mmoja na nusu wa machungu ya moyo maana nilifanya maamuzi hayo nikiwa bado nampenda ila sikuwa na jinsi kwa maana nilikuwa kwenye mahusiano yenye mateso.
Baada ya kumwambia maamuzi yangu jamaa alikasirika sana na kutishia kutotaka kujua lolote la kuhusu mtoto.cha kushangaza alirudi tena na kuanza kunitishia maisha yangu na ya mwanangu kama tu ataona mimi nina mtu mwingine, na story haikuishia hapo alidiriki kutuma msg kwa mama yangu mzazi kumwambia maneno hayo ya kutisha pamoja na kwamba mama yangu ndio chanzo cha mimi kumuacha kwasababu hakuwahi kumshauri yeye wala mimi.na pia alinitumia msg nyingi za matusi ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Hatimaye juzi kanitumia msg kuwa na yeye anamove on hajali kama huyo mtu anampenda au la na tuone mwisho wangu.

kwa kipindi chote hiko sio kama ninaona raha yeye kuhangaika ila na mimi pia nilikuwa naumia na mpaka sasa hivi i wish kungekuwa na miujiza ya kumbadilisha tabia zake. namshukuru Mungu sasa hivi nimezoea na pia cha kushangaza leo katuma fees ya mtoto from nowhere.

Sasa basi, kisa cha mimi kuandika hapa leo ni kwambaa,wakati huo wote kwa muda wa kama miaka miwili kuna kijana ambaye nilikuwa nikimuhadithi matatizo yangu ananishauri na vitu kama hivyo ni rafiki tu wa kawaida na tunaelewana sana, bila kujua yule kijana ananipenda. baada ya kujua tumeachana huyu kijana kazidisha kuwa karibu na anadiriki kunambia mimi ndo mke wake siku zote alikuwa anajua sitolast na baba watoto wangu. afu kaniintroduce kwa kaka zake na sister zake na marafiki, na anapenda kuongelea mambo ya ndoa na jinsi tutakavyoishi pamoja na mwanangu etc, nikisema mi sipo tayari na mahusiano anakasirika mbaya hatoongea siku nzima.

tatizo ni kuwa naona kama yuko too fast na pia ni mdogo kwangu kwa miaka miwili. ni kijana mwenye hekima na busara na mwenye sifa zote za kuitwa baba na mume bora.

naombeni mawazo yenu ya busara wanaMMU

Hafai; kwanza anakujua vizuri na matatizo yako yote anayajua. Kumbuka dunia imeharibika, anaweza kuwa mchango mkubwa uliokufanya wewe kuachana na mumeo. Sikushauri my dear, chapa lapa kwa mtu mwingine huyo hana tofatuti na uliyemwacha. Ni muda mfupi sana kujiingiza kwenye mahusiano. Pole sana kwa kuachana na mumeo ila endelea kuomba Mungu, mrudiane mlee mwanenu.

Wish you the best.
 
Huyo kijana inaonekana unamsifia anabusara na heshima hata huyo mume wako utakuwa ulimsifia hivyo hivyo lakini watu hubadilika kijana anaweza kuwa na busara kwakuwa anataka dudu tu akipata ukakumbuka na cha zamani .Sasa usijejuta na kukumbuka huyo baba ambaye leo ameanza hata kutuma fees. Kuwa makini sana isje kuwa huyo jana akaamua kukuoa kutokana na huruma aliyokuhurumia wakati unamsimulia matatizo yako.
 
noella, ulichoambiwa na wote waliopita kuwa utulie kwanza ujipe muda ni SAHIHI kabisa!
huyu kijana ana kaagenda kake ka siri.....!

Unatakiwa sasa hivi, ukoncentrate kwenye maisha yako na mwanao, afya yako, akili yako, mwili wako maana najua utakuwa umechoka kutokana na shuruba (stress za exhubby wako).

Mkatishe tamaa kabisa kwani yeye akinuna wewe inakuuma nini!?

Kila la kheri
 
Dada yangu noella mi naona mwezi mmoja na nusu ni mapema sana kusema umethubutu na umeweza (sikukatishi tamaa dada yangu) ila you still have a long journey ahead of you.
Na kama walivyokushauri wengi, you are not yet ready for a new relationship. Inabidi kukivuka kipindi cha rebound kwanza.
Stay at least a year kwanza...Hii itaonesha you are appreciating kwa sababu huyo mumeo hakua 99.99% mtu mbaya. Hata jamii itakuona wewe ulikuwa unacheat mwezi mmoja na nusu unawaza ndoa nyingine?
(Hata hivyo ulikuwa unacheat kwa sababu ulikuwa unavujisha intimate affairs to others without intention of marriage amendment- kwa sababu kama ni ushauri huwa mnatakiwa muwe na mmeo if those washauri si mshenga, mzazi, mfungaji ndoa au msimamizi. Mambo ya ndoa siyo ya kukurupuka na kumuambia mtu yeyote. Ndo maana ndoa nyingi hazidumu)

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom