Bado saaana.......upo kwenye njozi pakikucha utaelewa
Kivipi Platozoom?fafanua pls
Bado akili haijatulia na kovu bichi kabisa unajitwisha mzigo mwingine..........
Yaani leo tumeamkia upande mmoja, Wa kulia eeeeh? Ulichosema ndicho nilichotaka kusema.Mwambie akupe muda ni mapema sana sasa kufanya maamuzi
Mwambie akupe muda ni mapema sana sasa kufanya maamuzi
Fuata ushauri wa FL1 lakini usimpotezee na pia usithubutu kuingia kwenye ndoa haraka haraka, vuta subira kwa miaka kama miwili hivi kuona pumzi yake kama kweli ana mapenzi ya kweli au ni msanii tu. Kama kweli anakupenda kiasi cha kutaka uwe mkewe basi miaka miwili hataiona mingi hata kidogo.
noella kwanza kabisa pole na hongera kwa ujasiri wa kuamua kuendelea na maisha yako ni wachache sana wenye ujasiri kama huo.
Pili, mtoto wako ana umri gani? Umesema una mwezi na nusu toka umesitisha uhusiano na baba mtoto, wewe binafsi huoni kuwa ni mapema sana kujiingiza kwenye mahusiano mengine licha hata ya kuwauliza wanaJF kwa ushauri?!unataka kuniambia wote hapa tukikwambia umkubali huyo jamaa wewe utaona ni sawa na utakubali kwasababu ya wengi wape???!!!
Nisamehe kama nitakua nimekukwaza lakini kwa jinsi nilivyokusoma ni kama na wewe umeanza kumfeel jamaa......kila la kheri mwaya.
jamani ulikuwa kwenye mahusiano ya mateso haujapumzika unataka kuanzisha mengine???? Mhhh mi napata doubt na maamuzi yako yote kuanzia kuachana na huyo wa kwanza na huyu aliyekuwa mshauri wako ambaye anataka kubadilika na kuwa mumeo... Jipe muda bana pumzika ili hata kama ikiwa ni yaleyale uloyakimbia yasiwe yameungana... Ni hayo tu.