Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari
Kwa nini mnabadili ID? Leo nimewakamata, na ntaanza kutumbua mmoja baada ya mwingine
1. Kuna huyu espy nampa siku moja aeleze kwa nini anatuchezea? nimemdaka red handed, na kinachofuata ni kumtumbua. Alikuwa anatumia ID inayoishia na desh desh 'o'
2. Mwingine ni masai dada huyu bado naendelea na uchunguzi nikijiridhisha ntakuja na ID yake ya dhamani.
3. joanah huyu naye nimepata dalili za awali siku si nyingi ntampata alikuwa anatumia nani?
4. Kuna BADILI TABIA bado nachunguza mienendo yake
Kuna wengine bado nafanya uchunguzi, hawa # 2, 3, 4 nafuatilia mienendo yao kwa ukaribu sana
JITUMBUE KABLA SIJAKUTUMBUA
3