Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 353
Habari jukwaa la starehe! Bwana me niko hapa kuwaambia senkyuu kwa maushauri yenu ktk post yangu ya mwisho..in dilema...! Mnaikumbuka? Nimemaliza field salama, matokeo yamekuwa poa, hakuna kijana alienipata kati ya wa3 waliokuwa wanatishia amani na elimu yangu na above all mkuu wa shule amenipa katempo mpaka nirudi chuo. UTU WANGU UMESITIRIKA NA ZAIDI STAF YOTE IMENISALUTE CUZ KILA MDADA ANAEKUJAGA HAPA LAZMA ALIWE ILA ME NIMEVUNJA MWIKO...! Idumu JF, zidumu fikra CHANYA ZA wana JF wote....!