Hatimaye nimetoka jela


😢😢😢
 
Pole sana mdau. Duniani hakuna haki, uonezi mwingi. Yote muachie Mungu!
 
Mpaka uhisiwe uliiba ng'ombe na kukamatwa,,kuna shida mahali,
Aidha Kuna namna unavyoishi kwenye hio jamii yako mpaka wakakuhisi, au Kuna namna jamii inavyokuchukulia,,,,

Kwa mantiki hiyo, Moja kwa moja unaweza kuelewa wewe Ni mtu wa aina gani kwenye jamii yako,,, kuanzia life style/standard, kampani zako n.k !

Anyway ndo uanaume!!
 
Jela unaitwa jina lako la kwanza ukiitika naam unachezea kichapo, Kama wewe ukiitwa  Msukule unatakiwa uitike  Mzembe yaan unaitika jina la baba yako.

Nyapala anaheshimika balaa na ana roho mbaya kuliko hata wale askari, kwanza ukiingia tu anakwambia jela sikuombi heshima ila naichukua kwa nguvu

ukiitwa unakimbia alaf unasimama hatua tano kutoka alipo simama Askari na unaongea nae ukiwa umechuchumaa chini

mtaani ukijidai umepinda jela ukiingia adabu inarudi ndani ya dakika mbili tu
 
True..hata kama yey3 sio mwizi lakini itakua.ndio mchora ramani hizo
 

Usitupotezeee MUDA mkuu,,, Wewe mwenyewe uliandika WIZI ndio tabia yako....

Be a Man,,,kuwa responsible na tabia zako....kwani hujui za mwizi ni 40 tu...
 
asa mimi niibe ili iweje
Achana nae huyo,yeye anazani kila Mtu mwizi!! Mi kuna Shemeji yangu,kakaa barazani kwake,ghafla wakimbiza mwizi wakaanza kumpa ki bano kitakatifu wakizani kua ndiyo mwizi! Bahati nzuri walitokea watu wawili,watatu wakamtetea kua wanamjua!!
 
Anaesema jela ni ya wanaume hayajamkuta! Jela isikie kwa mwenzako tu ma usiombe kuwa mfungwa! Ni mateso unaweza kwenda mzima ukarudi na magonjwa mbalimbali makubwa makubwa.
wengine wanarudi mashoga kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…