dr shayo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 556
- 1,000
- Thread starter
- #21
Mzigo nakula nikihitaji mkuu wala hana shida. Mpaka leo yuko vile vile bado haombi hela kabisaa. Muda mwingine naona aibu nampa kwa kumlazimisha.Anakutaftia size ya Spana [emoji28][emoji28][emoji28] akilianzisha utaomba poo humu! Vipi mzigo ushakula lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app