Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 437
- 715
- Thread starter
- #41
Shukrani kaka nimepanga kwenda na Maji ya baraka kutoka Kwa TB Joshua na Nabii Nicolas Suguye wa WRM Church yule wa Kivule Matembele ya Pili.. Maana nikiboko ya wachawi.. Nachukua udongo wapale shmbani kwa kiganja cha mkono na nyunyuzia maji ya upako kisha naenda kurusha ule udongo kona Zote za shamba langu.. Kisha napiga goti kati kati ya shamba langu naombea Aridhi kamwe isiguswe na nguvu za Giza na atakaye jaribu wata nasa hapo.Good job ila .make sure unazindika shamba kwanza vijiji hivyo ni nuksi kwa uchawi LA sivyo hapo utakua huambulii kitu kabisa