Umba Tuku JF-Expert Member Joined Feb 4, 2017 Posts 2,101 Reaction score 1,271 Apr 20, 2017 #41 billduke said: Wewe unaonekana hufatilii habari za huyu jamaa.. Wakati habari zake zinaletwa na kusoma Kila mtu alikuwa anataka japo picha kumfahamu.. Sometimes ukisoma habari ya mtu ambaye anaongelewa Sana Vizuri kumjua. ..kwahiyo hapo wala sioni kosa langu mkuu.. Kaa kimya sometimes! Click to expand... ndio kuna muda nashangaa sana unavyoiga upande wa pili au wewe ni yule ? 😵
billduke said: Wewe unaonekana hufatilii habari za huyu jamaa.. Wakati habari zake zinaletwa na kusoma Kila mtu alikuwa anataka japo picha kumfahamu.. Sometimes ukisoma habari ya mtu ambaye anaongelewa Sana Vizuri kumjua. ..kwahiyo hapo wala sioni kosa langu mkuu.. Kaa kimya sometimes! Click to expand... ndio kuna muda nashangaa sana unavyoiga upande wa pili au wewe ni yule ? 😵
T11 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 5,096 Reaction score 4,578 May 11, 2019 #42 ng'wanamangilingili said: ugolo unatokana na zao/mmea gani Click to expand... Tumbaku
Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,918 Reaction score 8,713 May 11, 2019 #43 Mkuu Drug Lord duniani alikuwa ni mmoja tu Pablo Escobar, hawa wengine ni wauza unga tu kawaida, japo wana pesa ila hii title ya Drug Lord no
Mkuu Drug Lord duniani alikuwa ni mmoja tu Pablo Escobar, hawa wengine ni wauza unga tu kawaida, japo wana pesa ila hii title ya Drug Lord no
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 24,814 Reaction score 60,685 Nov 12, 2024 #44 Naufufua uzi mkuu mrangi una la kuongezea?
jkipaji JF-Expert Member Joined Sep 22, 2019 Posts 6,956 Reaction score 9,438 Nov 12, 2024 #45 Zamaulid said: Umbo la afande na la mtuhumiwa... Click to expand... Afande yuko fit,mtuhumiwa mwili bumunda ule!!
Zamaulid said: Umbo la afande na la mtuhumiwa... Click to expand... Afande yuko fit,mtuhumiwa mwili bumunda ule!!