Hatimaye nimempata!

Inabidi mfunge ndoa haraka, lasivyo akishaizoea ataanzisha vitimbi vya kukuacha.

Dada yangu amerudishwa hapa home, baada ya kutumika kwa mumewe kwa miaka kadhaa na watoto juu 😀; hapa tulipo tunajipanga kwa kesi ya kugawana mali.​
Duuuh🤔🤔🤔..
Kwakweli wacha nikae mguu sawa na mimi yasinikute
 
Hongera mkuu,mshukuru Mungu,zidi pia kutuombea na sisi tupate kama wwew ulivyopata, inshallah [emoji120]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…