👍👍Olewako nikuone ukileta malalamiko uku 🤣🤣Hahaha 😂😂😂.. Asante lakini 🥰
Eti anakuonea wivu uko mahabani penzi jipya🥰Kuhusu nini kiongozi 😃
Tuendelee kuidadavua mtani sawa🤣Kuhusu nini kiongozi 😃
HahahahahahaAcha ukorofi rafiki 😂😂
Ndio ndioooNiko hapa nitajibu kila kitu😃,, mwambie aniulize tena
Ili jambo ni lake sisi halituhusu mbn🤣🤣Hongera sana na kila la heri
Mna muda gani sasa tangu uzame kwenye penzi na huyo chibaba?
Nliwahi kupenda mara Moja tu mpenzi wa kwanza...kwangu mm ndo mara ya kwanza kupenda ila yy alishakua mkongwe kwenye game, alininyooosha nusu aniue🤣🤣🤣baada ya hapo naskia tu lav iz ze biyuriful thingzWe hujawahi kupenda, hivi unajua mshawasha wa penzi jipya🤣🤣
Daaaah I can't believe that you have decided to dishonor me this much, yani after all long wait but you choose to go to other guy. Kweli life is so unfair.... AMA KWELI, KULIA ALIE CHIRIKU AKILIA BUNDI NI MCHAWI 😔Good morning ma lovers,
Moja kati ya vitu ambavyo tunatakiwa kuepukana navyo na kupambana navyo kwa namna yoyote ile ni pamoja na upweke and finally Leejay49 nimelishinda hili.
Maana haikua rahisi being single for almost two years, na nilishagive up kwamba hakuna mapenzi ya kweli due to senarios zilizojirudia kwa ambao nilidhani wangekua wapenzi wangu (Uongo na maisha ya kuigiza) vilinitoa kwenye reli kabisa.
Sikua na option nyingine zaidi ya kukubali kuwa i will be single forever🥹🥹, kutafuta sana hela kwa nguvu na akili zangu zote, but still haikusaidia maana i used to spend alot of it nikidhani i will find peace of heart na sikuwahi kuipata. Ikafika hatua nikawa namuogopa kila mtu atakayeniface na kushow interest ya kua na mimi.. Haikua rahisi🙌🙌
But guys tusiache kumuomba Mungu, yaani kama unaweza kufunga hata tatu kavu just do it, inasaidia sana. Lilikuwa ni miongoni mwa maombi yangu ya mwisho kabisa, yaani kuomba kwajili ya mwanaume wa ndoto zangu, ilikua ni maombi extra baada ya kuombea kila kitu😃 lakini gues what, limetimia kabla ya wakati!
I do love this man na siwezi ficha, amenibadilisha kila kitu ikiwemo mtazamo wangu kwa hawa viumbe wa kuitwa Men. He is not perfect kama mimi ambavyo siko perfect but we can make it na tutafika mbali (Mungu wangu ninayemwamini hajawahi kuniacha na hata kwenye hili pia naamini hataniacha).
Kama kuna mtu ambaye maybe nilishakwambia nakupenda au nakupenda pia, am sorry zilikuwa ni stress tu🙏🙏 anayependwa kapatikana (na hili halihitaji maelezo). Am in Love🥰🥰❤️
Muwe na Jumapili iliyo njema.
Hahahaha...safi sanaKwakweli,, yaani leo full kutabasamu☺️☺️
Ooh nohh😥😂.. Hukusema sasa ningejuaje 😃Daaaah I can't believe that you have decided to dishonor this much, yani after all long wait but you choose to go to other guy. Kweli life is so unfair.... AMA KWELI, KULIA ALIE CHIRIKU AKILIA BUNDI NI MCHAWI 😔
Jf kimbilio lako la kudondosha chozi nafikiri mpk urudi itakua wazamiaji wa WhatsApp Gb kurudi watsap massenger 🤣🤣Sasa nilie kimyakimya nikifa😂😂... Nikiachwa nitaleta tena uzi labda mnifukuze🤒🤒
Pole sana😂😂Nliwahi kupenda mara Moja tu mpenzi wa kwanza...kwangu mm ndo mara ya kwanza kupenda ila yy alishakua mkongwe kwenye game, alininyooosha nusu aniue🤣🤣🤣baada ya hapo naskia tu lav iz ze biyuriful thingz
🤣🤣🤣🤣🤣😄🤣🤣🤣🤣🤣Wacha nicheke penzi la kungwi umelipotezaNliwahi kupenda mara Moja tu mpenzi wa kwanza...kwangu mm ndo mara ya kwanza kupenda ila yy alishakua mkongwe kwenye game, alininyooosha nusu aniue🤣🤣🤣baada ya hapo naskia tu lav iz ze biyuriful thingz
AnajisahaulishaKwani hajui mwenye kisu kikali ndo mla nyama😂