Hatimaye nimejiunga nanyi!

teh teh teh!!
Umenifanya niangue kicheko kikubwa sana.
JF kuna mambo sana.

Nafikiri atakuwa amepata oriention kwanza kabla ya kujiunga JF, maana huu uzoefu alioanza nao hata mimi sina.
mimi wewe ndugu yangu?yaani mi mwenyewe nimebaki mdomo wazi maanake hata mi hayo maujuzi sinaga kabisa hata sijui unaanzaje???????????haaaaaaaaaaahaaaaaaahaaaaaa jf burudani tupu.
 
Sister T mama em nipe siri ya urembo mbona waonekana mzoefu sana wa kucheza na jukwaa letu pendwa???????????we mgeni kweli weye???????????
Jamani!
nimefarijika sana kwa ukaribisho wenu jamani! nawashukuru sana kwa moyo mmoja!
Ahsanteni sana!
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana JF. Hapa sote ni ndugu au marafiki.
Nahisi utakuwa mrembo wa Ukweli, please tupia na picha yako kidogo tufurahi pamoja!!!

daaaaaaaaahhh TheDealer wivu huo tayari una nini na Sister T weye??????????

shiiiiiiiiii!!!!!!! Blue G taratibu basi! LumumbaDAR unaona Blue G anavyopunguza kasi yangu! eti mm nisimkaribishe mgeni! akati mm ndio nipo reception! kwanza Blue G wewe upo jikoni unampikia mgeni, umesikiaje haya maongezi ya picha! ngoja nije jikoni nidokoe chakula cha mgeni!
Sister T weka picha mbayambaya ya uongo kuwazuga akina LumumbaDAR! halafu mm utanitumia ya ukweli kwenye email!
 
Last edited by a moderator:
Sister T mama em nipe siri ya urembo mbona waonekana mzoefu sana wa kucheza na jukwaa letu pendwa???????????we mgeni kweli weye???????????

mbona Sister T mwenyewe haonekani? au Blue G umeshafanya umafia kumteka mtoto wa watu? maanake jana tu ulivyoanza kujipangia majukumu ya jikoni machale yakanicheza! sasa na mm sibanduki reception hadi kieleweke!
 
Last edited by a moderator:
duuh..ata sijaiangalia..nitaichek badae bade..tatzo politcs inaipaga stress zaidi na mapigo ya moyo kunienda kasi..
kwan huku ni CC mimisa! nazngumzia katiba ya shirikisho la tanzania! (najua mambo haya huependi lakini katiba mpya si ndio itakufanya uipende sasa mambo ya politics)
 
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaa watu8 umenichekesha kwelikweli,afu umeniwahije maanake na mi iilibakia kidogo tu na mi nimuulize hilo swali
Na mimi nilikuona tu wakati unavuta kibodi yako ili umuandikie...nikakulia denge haraka mno ili walau upate kutoa kicheko!!!

hivi swahiba unaweza kuamini kuwa mi na usinia member wangu humu jf mpaka leo hii siwezi hayo maujanja ya kuwakusanya watu na kuwajibu?????????????

Mmh naamini ila sio kitu kigumu sanaaaa...

swahiba em nipe maujuzi mwenziyo huwa wanfanyaje?

Unataka nikuelekeze hapa au PM?
 
Haaaaaaaahaaaaaaahaaaaaaaa mbona unalo wewe na hivi email yako naijua akikutumia picha ya ukweli tu mi huyo naikwiba au naibadilisha,labda uibadilishe email yako heeeeeheeeeeheeeeeeeeeheeeeeee nimekuwezaje???????.
shiiiiiiiiii!!!!!!! Blue G taratibu basi! LumumbaDAR unaona Blue G anavyopunguza kasi yangu! eti mm nisimkaribishe mgeni! akati mm ndio nipo reception! kwanza Blue G wewe upo jikoni unampikia mgeni, umesikiaje haya maongezi ya picha! ngoja nije jikoni nidokoe chakula cha mgeni!
Sister T weka picha mbayambaya ya uongo kuwazuga akina LumumbaDAR! halafu mm utanitumia ya ukweli kwenye email!
 
duuh..ata sijaiangalia..nitaichek badae bade..tatzo politcs inaipaga stress zaidi na mapigo ya moyo kunienda kasi..

kweli ccm hawana huruma hata kwa watoto wazuri bado wanafnya ushetani hadi mtoto mzuri moyo unaenda kwa kasi kisa siasa zao chafu! basi usijali mm nitakuwa nakuambia yale mambo mazurimazuri ya kisiasa hadi uanza kupenda taratibu!

Kwa mfano!
kwenye rasimu ya katiba mpya wananchi wamepewa mamlaka ya kumwajibisha mbunge wao anytime akionekana ni mzinguaji, hii si unaipenda eeh!!
 
Haaaaaaaahaaaaaaahaaaaaaaa mbona unalo wewe na hivi email yako naijua akikutumia picha ya ukweli tu mi huyo naikwiba au naibadilisha,labda uibadilishe email yako heeeeeheeeeeheeeeeeeeeheeeeeee nimekuwezaje???????.

acha hizo basi! ile haina mita ujue! usinifanyie fujo bhana, mbona mm na wewe ni washkaji sana!
 
Afu wewe uchokozi wako huoooo!!!!!!!!!!!
Na mimi nilikuona tu wakati unavuta kibodi yako ili umuandikie...nikakulia denge haraka mno ili walau upate kutoa kicheko!!!

Mmh naamini ila sio kitu kigumu sanaaaa...

Unataka nikuelekeze hapa au PM?
Nielekezee pm ndo itakuwa bomba ili hata kama sielewi ukinipa viboko viwili vitatu iwage siri yangu na sio hapa public hadi akina NIGGA wanione na wanichekee aku mie sitaki,twenzetu kuleeeeeeeeee pm.
 
Last edited by a moderator:
acha hizo basi! Ile haina mita ujue! Usinifanyie fujo bhana, mbona mm na wewe ni washkaji sana!
haya nakusamehe ila sharti ni moja tu naomba zawadi nikusamehe,kama hutaki naanza tena,haya unanipa hunipi????????????
 
nimeipenda..af mm chamaless kwaiyo aje na mwana ccm apa,cdm,nccr
kweli ccm hawana huruma hata kwa watoto wazuri bado wanafnya ushetani hadi mtoto mzuri moyo unaenda kwa kasi kisa siasa zao chafu! basi usijali mm nitakuwa nakuambia yale mambo mazurimazuri ya kisiasa hadi uanza kupenda taratibu!

Kwa mfano!
kwenye rasimu ya katiba mpya wananchi wamepewa mamlaka ya kumwajibisha mbunge wao anytime akionekana ni mzinguaji, hii si unaipenda eeh!!
 
Akhaaa mi kwenye upishi tu labda nikuulize wewe umempeleka wapi maanake huku jikoni hata kufika hajafika.
mbona sister t mwenyewe haonekani? Au blue g umeshafanya umafia kumteka mtoto wa watu? Maanake jana tu ulivyoanza kujipangia majukumu ya jikoni machale yakanicheza! Sasa na mm sibanduki reception hadi kieleweke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom