Hatimaye nimefika

HADOHADO

Member
May 18, 2012
31
0
Siku nyingi nilitamani nike hapa javini niwe nanyi wakuu.kwa namna ya pekee nashukuru sana kuwa sasa nipo nanyi.nawaombeni ushirikiano wenu plz wake kwa waume,vijana kwa wazee
 
welcome.gif.pagespeed.ce.-myCtz3Vgp.gif
wc huku ndio kwenyewe!!
 
Siku nyingi nilitamani nike hapa javini niwe nanyi wakuu.kwa namna ya pekee nashukuru sana kuwa sasa nipo nanyi.nawaombeni ushirikiano wenu plz wake kwa waume,vijana kwa wazee

Karibu sana. Na watoto pia wamo, wao hutaki ushirikiano wao?
 
Back
Top Bottom