Hatimaye nimefanikiwa kuupdate my tecno c8 to mashamallow

Hatimaye nimefanikiwa kuupdate my tecno c8 to mashamallow

Mkuu umetumia browser gani kuadownload hilo file maana kwangu nikidownload inaonesha imemaliza ila file size hiyo ya 800mb haifiki?
Hata mimi sioni kitu... inaload mwisho inamaliza afu hamna kitu
 
Aisee mimi ni Hater mmoja mkubwa sana wa kampuni yenu hii ya Tecno but leo nabidi nikubali kwamba hawa jamaa wapo vizuri kwenye hili la update nawasifu.... [emoji122][emoji122][emoji122]Makofi Jamani..

Mtu akifanya jambo zuri sharti kumpongeza..
 
Mbona kwenye hii techno Boom J8 hivyo vitu vipo tu, au Mimi Ndio sielewi??? Uzee huu sasa
 
Kama nilivotanguliza kwenye head baada ya pitapita zangu katika forum mbalimbal hatimae nimefanikiwa kuupdate tecno c8 to android mashamallow a.k.a android 6 now naenjoy muonekano mpya kabisa ni hois new font style, new icon n.k

Hapa nimeanza kuamini kwamba hakuna kisichowezekana kwenye android
Tembelea TECNO SMARTPHONES Jukwaa maalumu kwa watumiaji wote wa Tecno na Ujifunze mengi Kuhusu TECNO SMARTPHONES
 
Back
Top Bottom