KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,448
- 5,448
Hii sukari ya jamaa ina ukakasikakasi fulani hivi.pole sana mkuu...ila kuna maswali umeniacha:ulikuwa kwenye usafiri binafsi ukielekea iringa kununua usafiri(binafsi) je uliponunua la iringa la binafsi ulilotoka nalo ars uliliwacha wapi,ulimlipa ray pesa yake lakini bado ukaendelea kuwa na pesa wakati unarudi ars je ni kiasi gani out of 45 ulizotoka nazo ars
Kwa hiyo una umri mdogo?
Hizo 45m umezitoa wapi mkuu?
Au Mimi sijakuelewa?
nini?Duuu
una akili chache mnooHahaaa confused!
huwa nasafiri hata na zaidi ya hizoUnashida kichwani wewe, million 33 unasafiri nazo kwenye gari kweli?
tatizo ni umeandika mashuduMkuu hujui kusoma ama
na hapo ndio nilikoseapole sana ila ni vema kwenye biashara yoyote kama hiyo unakuwa na mtu wa karibu ambaye angekuwa upande wako kwenye maswala hayo kuna suala la kuandikishana na kukabidhiana mkataba na nyaraka zote husika ina maana mkuu wewe ulienda mwenyewe bila kumshirikisha ndg au rafiki yeyote wa karibu(kwa ulinzi na ushahidi wa makabidhiano)?
sawaHii sukari ya jamaa ina ukakasikakasi fulani hivi.
ile Samsung umeshauza?Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu...
wewe ni mjingaHuyu Mwongo
nilitaka nikutukane,ila wacha ninyamazeUnaishi zama gani hadi unasafiri na kiasi kikubwa hivyo cha pesa? Au hazikuwa za halali? acha ziende kwa wenye uhitaji. pambaf!
duh! sawa mkuuKuna umuhimu sana wa kuandikishana mali unazonunua pamoja na wakili ili ikitokea shida iwe rahisi kutatua. Halafu hela zote hizo ulikua unajiaminije unatembea nazo?
Mkuu uwe makini bwana hizo pesa ni nyingi sana kwa maisha haya...
Nenda mahakamani achana na visasi.. yeye pia atakua anajihami so unaweza sema unampiga halafu upigwe ww au uuwawe kabisa...
Pia uwe mcha Mungu yeye ni mwema atakulinda siku zote... na atakurudishia ulichodhulumiwa...
ntakachokufanyia hutonisahau bado napambana na maisha upya ila kaa ukijua ntapambana na wewe hata ukiwa maiti.kitu ntakachokufanyia itabaki historia kwa kizazi chako chote sitakuacha Salama,nakuahidi ukoo wako wotewatanilaumu kwa ntakachokifanya
simtaki,nampendaMwanamke aliyekutenda leo unamtaka tena