Hatimaye nimefanikisha

Nikimuua hatoumia kama mimi nataka ateseke na simuogopi
 
 
hii habari inanipa ukakasi kidogo
wakati unatoka Arusha kwenda Iringa ulikuwa kwenye gari binafsi (je ni la kwako au ulipewa lift?).
Kama ni la kwako uliliacha wapi baada ya kununua jipya?
Naomba nianzie hapo kwanza
Nilipewa lift
 
Enzi hizi MTU anatembea na million 45????!!!!!!! Umebahatika kupata pesa ila akili bado, ngoja uanze tena labda zamu hii akili itakaa sawa.
Nimejifunza kitu
 
umri wako mdogo ndo maana huna leseni?? ina maana chini ya 18?? bado ulikua unaishi na mwanamke.. akakutenda na bado unamtaka? ukanunua gari bila kuandikishiana any docs? unaendesha gari hovyo hovyo tuuu... mmmhhh
Hahaaa confused!
 
Nilikua kwenye gari ya mtu wa mbeyanaye. Alienda arusha kwa mda kusalimia hivyo alinishushia iringa yeye akaenda mbeya.ajali sikupata nnavyoenda arusha nlikuwa naenda ifunda mbele kidogo.kununua drip pipe
pole sana ila ni vema kwenye biashara yoyote kama hiyo unakuwa na mtu wa karibu ambaye angekuwa upande wako kwenye maswala hayo kuna suala la kuandikishana na kukabidhiana mkataba na nyaraka zote husika ina maana mkuu wewe ulienda mwenyewe bila kumshirikisha ndg au rafiki yeyote wa karibu(kwa ulinzi na ushahidi wa makabidhiano)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…