Hatimaye Nicole Joy Berry apata dhamana

Kumbe ana hela bana sema niza danga obvious 😁😁😁

Cc mtani tako limemsaidia mwenzio πŸ˜€πŸ˜Š
 
Wenye hela tayari washafanya yao..
Mzigo kama huo hauwezi kuachwa usote Jela
Mzigo wako pia mimi siwezi kuuacha usotee jela uwe chakula ya manyapara lazima nikurudishe uraiani
 
Siwalaumu maana si kwa mtako ule japo ni wa bandia. Sema tu binti ni mjinga; na bado hajajifunza cho chote!

View attachment 3274447View attachment 3274448
Najiuliza jinsi anavyojamba ushuzi unatokaje sipati majibu sio kwa hayo maputo huko nyuma ambayo yule Miss alienda kuyachomoa na Vera Sidika nae alienda kuyachomoa na huyu akiyachomoa atakua km mchongoma ndipo hapo watu watashangaa imekuaje kumbe maputo

Hapa ni kabla hajayaweka maputo


Hapa ni baada ya kuyaweka maputo


Mapichapicha


Kutoka Maktaba
 
Mujela jela katoka kwa fujo sana ,sasa kama ulikuwa hauhitaji michango sasa mbona unawatukana watu na kuita wanafiki? Wewe Tabu Mbaga si ulisema una jumba la bilioni moja? Hakuna hata walioanza kurudisha michango ,majina yote ya mwanzo ni ya kwako ,rudisha pesa za watu ,dhuluma ni mbaya sana.
 

SIlicone ,BBL , Carolight , Kojie ni noma yaani amejifanyia transformation na kuwa mtu mwingine kabisa.
 
Anajifaragua wakati huko jela kakaaa muda mrefu 180m sio pesa ndogo kama hana assets za kueleweka. Labda ahonge sana kesi ipigwe dana dana asogeze siku uraiani.
 
Anajifaragua wakati huko jela kakaaa muda mrefu 180m sio pesa ndogo kama hana assets za kueleweka. Labda ahonge sana kesi ipigwe dana dana asogeze siku uraiani.
Na ndivyo itakavyotokea atahonga ili iamuliwe wamalizane kimtaa na hapo ndipo watakapolia ,wamshenyete mahakamni wasikubali kumalizana naye kimtaa.
 
Alikuwa mrembo Black beauty
Kumbe hadi rangi kajibadilisha. Kiuhalisia ni watu wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…