Hatimaye ngoma sasa ni Lowassa vs Magufuli

Hatimaye ngoma sasa ni Lowassa vs Magufuli

11817053_1280039095343839_3636763323397319124_n.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa amechukua rasmi fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya Chadema na kuahidi kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) utashinda urais katika uchaguzi mkuu.
https://www.facebook.com/eatv.tv/ph...303284284098/1280039095343839/?type=1&theater

For the first time in Tanzanian election history, this was the day when we couldn't prognosticate the future ruling party for our country!,....guess it's about time we grow some political ball.s
 
hehehehehe naona MK254 anaufuatilia huu uchaguzi balaa,kwakweli so funny kuona wakenya wako active na siasa za bongo kuliko watz wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
For the first time in Tanzanian election history, this was the day when we couldn't prognosticate the future ruling party for our country!,....guess it's about time we grow some political ball.s

prognosticate!! Hehehehe!! kui thhat's a turn off for me when a girl starts to regurgitate such big words!! You're so so un-dateable.

Anyway, hongera for your country!! This is a trend we started in 2002, where whole country is so tensive and everyone glued to the streaming results on TV with uncertainty of who will carry the day. Such like Simba vs Yanga duel.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
hehehehehe naona MK254 anaufuatilia huu uchaguzi balaa,kwakweli so funny kuona wakenya wako active na siasa za bongo kuliko watz wenyewe.

Yeah! falcon mombasa kawaida yangu kama mwana EAC na mwekezaji, huwa nafuatilia kwa makini siasa za hizi nchi, asije chaguliwa wazimu na kuamuru biashara zetu zitiwe viberiti.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
Yeah! falcon mombasa kawaida yangu kama mwana EAC na mwekezaji, huwa nafuatilia kwa makini siasa za hizi nchi, asije chaguliwa wazimu na kuamuru biashara zetu zitiwe viberiti.

sasa leo brother MK254 naomba utengue kauli zako na ukubaliane na mimi kuwa magufuli hakuwa chaguo sahihi la watanzania,bali alipatikana kutokana na vita vya panzi.wakati huu tanzania inapopita leo ni dhahili mataifa ya wenzetu yalioyoendelea yalipita kitambo
 
Kaka falcon mombasa weka ushabiki pembeni na uchambue siasa jinsi zilivyo. Magufuli alichaguliwa na wachache ndani ya CCM, vipi naye Lowassa alichaguliwa na nani??? ili awe kiongozi wa Chadema. Pia yeye katokea huko ghafla na kuteka chama, mbona Dr. Sla yupo kimya, hajahudhuria vikao kadhaa vya wanahabari, ni wazi humo ndani kuna mvutano wa kiaina na Mbowe hajali maana yeye labda kahakikishiwa wadhifa wa Waziri mkuu.

Kitu ambacho nawapongeza Watanzania, ni kwamba mmefikia mahali tulikua mnamo mwaka wa 2002, hali ambayo imewafanya CCM wa-panic na wamebaki kimya kutathmini jinsi hii ngoma itachezwa. Ni wazi na dhahiri kweli CCM inaweza pigwa chini, hili limewaingia kichwani na labda watumie umafia na unyang'au, sioni wakipona hapa, maana Lowassa mwenyewe anaifahamu fika CCM, na hamna janja yao asiyoijua. Aidha wacheze kwa

- Kuvuruga ndani ya Chadema, watumie fursa hii Dr. Sla amenuna.
- Waibe kura kwa fujo bila kujali.
- Wamwage hela vijijini, yaani Lowassa na mabilioni zake abaki ameshangaa, maana huko vijijini ndipo kwenye kura.

Wasipofanya yao mapema, Lowassa anauchukua uongozi mchana peupe, na hapo Chadema itaweka bendera ikulu, jambo ambalo lilikua ndoto ya mbali kwa muda. Nimewahi hudhuria vikao na wakuu kadhaa wa Chadema na kila mara niliwaona kama wanaota ndoto tu, lakini hii ndio fursa yao kuongoza nchi.
 
Last edited by a moderator:
nikurekebishe kidogo MK254 mazungumzo kati ya ukawa na lowasa yalianza miezi mitatu iliyopita,na mratibu mkuu wa vikao hivyo ni dk slaa ndie alianzisha hilo wazo akiwa na mahesabu marefu juu ya jinsi ya kuivunjavunja ccm. source:BBCSWAHILI
 
Hapa vipi, mbona mnamchora jamaa hivi falcon mombasa

11061244_962076043854584_3721656590024888840_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
falcon habati ndio hio ukawa wamekwisha habari yao wameanza kumeguka na raisi atakuwa Magufuli mpende msipende.
 
Lowasa katumwa na ccm kuvuruga ukawa sasa hivi utasikia chadema tunahujumiwa.
 
prognosticate!! Hehehehe!! kui thhat's a turn off for me when a girl starts to regurgitate such big words!! You're so so un-dateable.
Anyway, hongera for your country!! This is a trend we started in 2002, where whole country is so tensive and everyone glued to the streaming results on TV with uncertainty of who will carry the day. Such like Simba vs Yanga duel.

Heheh!, MK254 bhana, eti so un-dateable!

...seriously, politics is so boring when it's predictable, it's like watching a game while you know who the winner is, something we've been experiencing for the past 50 yrs but, this year's elections are the most entertaining and amusing!, we're used to know the end results but not this time around. Am not a fan of ED but I like how he's going to give CCM a run for their money and bring them to their knees if this is real, am praying it's really happening and not to wake up one day and realize....it was just a dream!
 
Last edited by a moderator:
Ukawa, Lowassa 82% will win

Magufuli, CCM 17%... loser
 
falcon habati ndio hio ukawa wamekwisha habari yao wameanza kumeguka na raisi atakuwa Magufuli mpende msipende.

kua mkwel chambua siasa bila kuegemea upande wowote kiualisia ccm wanaofu kubwa na ndo maana uzinduzi wa kampeni zao Jana Aug 23 team ya ufunguzi walikuwepo maraisi wa awamu zote zilizopita ambacho nikitu akijawahi kutokea kipindi cha nyuma na katika uchaguzi zote.
 
Wewe na wenzio wachache mnaamini hivyo, unazungumzia watanzania gani hao!

Hata tukisema tusiongelee tuhuma nzito za ufisadi zinazomkabili Lowassa, ni wazi kuwa Watanzania wana imani kubwa sana na Dk. Mafugufuli..
Wapinzania wameamua kuchukua hii nafasi nawao wanufaike na pesa za Lowassa
 
kua mkwel chambua siasa bila kuegemea upande wowote kiualisia ccm wanaofu kubwa na ndo maana uzinduzi wa kampeni zao Jana Aug 23 team ya ufunguzi walikuwepo maraisi wa awamu zote zilizopita ambacho nikitu akijawahi kutokea kipindi cha nyuma na katika uchaguzi zote.

Afu CCM wanatukana sana, eti malofa
 
last kick of a dying horse. 😛eace:

Dah! Wabongo wamefikia point of no return, yaani Dr. Sla amerusha vijembe jana lakini hamna impact yoyote. Pande zote mbili zimekomaa kwenye misimamo yao kwenda mbele. Yaani unaambiwa weka kiporo majungu ama taarifa zozote ulizo nazo dhidi ya mgombea yeyote, hadi baada ya uchaguzi ndio utaskilizwa.
 
Back
Top Bottom