Hatimaye ngoma sasa ni Lowassa vs Magufuli

MK254 lowasa anachukua fomu ya urais leo saa tano.leo ngoja nikufumbue macho kidogo "mafisadi wote Tanzania wanatokea kanda ya ziwa " wabongo hawawezi kubisha hili.pia hili li magufuli mimi nilisema toka siku ya kwanza halifai hili lijitu tena nalichukia na nipo tayari kuitwa m'baguzi ni kweli mimi ni mbaguzi lakini hata kabla ya uchaguzi tayari watanzania wameanza kugeuka na kumuwekea magufuli mashaka.magufuli kamaliza bunge bila kujibu ripoti ya CAG ya bilion 263 mali ya watanzania yeye kaila na familia yake.pia anakashfa ya kujengea mahawala hotel (kebby's hotel) hii ipo bamaga karibu na trafic lights ,mkabala na TBC ,kama unaenda mwenge iko upande wa kushoto mita chache baada ya kupita mataa

falcon mombasa Una lipi la kuthibitisha hayo madai, kila mtu ana uhuru wa kukurupuka na madai ya tuhuma dhidi ya mgombezi, lakini cha msingi lazima uambatanishe na thibitisho. Hata Mwakyembe naye aliibuka na kauli zake dhidi ya Lowassa, soma hapa Mwakyembe: Lowassa hana sifa ya kuwa Rais | MwanaHALISI Online
 
Last edited by a moderator:
It doesnt matter really. As long as their elections will be issues based rather than tribal or clash of personalities angled....this is one area where we Kenyans should observe and learn from our neighbors down south.

Iconoclastes You're wrong on this, Tanzania politics have never been issue based, this is the first time am seeing uncertainty on who will clinch the presidency. I am used to seeing a leader handpicked by top honchos of CCM while the moribund opposition playing second fiddle.

It's the first time they are playing the Kenyan style of politics. Where you're not so sure who will win, though they seem to have copied some level of tribalism from us, there is currently a hysterical tribal based politics between Maasais and Sukumas each supporting their respectful leader, they will deny this, but have personally witnessed it.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
MOTOCHINI Naomba uwaulize watu kadhaa wakuelimishe kidogo kuhusu nini maana ya "mchambuzi wa siasa", kuanzia hapo ndio utakua tayari kunielewa. Hongera kwa kurudi kwenu salama, ila kama kawaida ya Watanzania, huwa hamuoni njema popote, mpo watu wa full majungu kwenda mbele. Wewe umekaribishwa Kenya, umekula, kujamba na kunya kwenye vyoo vyetu na unapogeuza na kurudi kwenu, kwa unafiki unaona uongee kuhusu mabaya tu. Aliyewaroga na kuwalaani Watanzania kafia zake mbali na zamani.
Nilianza kwa kutoa shukrani zangu kwenu japo kama kupungua kilo nimepungua kuishi kenya kwa siku 12 mtanzania lazima awe mzoefu sana huko, kila kona wasiwasi, Mombasa ya 2012 nimeikuta siyo kabisa, watu wanahofu hofu hofu kila kona, tumehamishwa mahala pakulala mara3 bila kuelezwa kunalipi na hapo ndipo hofu ikazidi nilijiona kama nimejitoa sadaka kenya! kiukweli MK254 mnawakati mgum hasa watu wa pwani kule hakufai tena rudisheni imani yazamani
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kama #falcom mombasa huwa najiuliza kweli yupo mombasa! jamaa hatuambii hali ilivyo pale mbona pagum mno kwa sasa, yeye nimtanzania hapati hofu yoyote wakati wenyeji pale wanatuambia wanakerwa sana na hofo ya ualshabb na umombasa cnl! huwa sipendi kuamshwa mtu umepumzika kisha unahamishwa eneo jingine kabisa usiku kwa usiku bila kuelezwa kinachopelekea maamuzi hayo, sijapenda kiukweli kenya mmeharibu mfumo du!
 
MOTOCHINI Huko kuhamishwa hamishwa inawezekana ulikua unashukiwa kiaina maana kama ni kwa ajili ya mashambulizi ya alshabaab, wewe hawawezi kukushambulia maana ni mvaa kanzu na mandevu kama wao. Na pia shahada unaijua mwanzo mwisho.

Fahamu kwa sasa hivi mvaa kanzu aliyetokea Tanzania eti ahubiri pwani, lazima utashukiwa sana, na wenyeji wako lazima wahahakikishe hujatekwa na usalama wa taifa. Kuna mvaa kanzu sheikh fulani pia kutokea Tanzania alihubiri chuki Mombasa, lakini kwa bahati yake akakimbia mapema. Tumechoshwa na wavaa kanzu wanaotokea Tanzania na ambao ni wafuasi wa Alshabaab, na ndio maana uliona siku zikiwa ndefu kwako.
 
Last edited by a moderator:
Iconoclastes Siasa ni unafiki na uchafu, hamna jipya, hawa UKAWA walimponda sana Lowassa akiwa CCM, wakamhusisha sana na ufisadi, sasa kwa yeye kuvuka na kuhamia kwao, wamemgeuza kuwa mweupe kama pamba. Huu upuzi upo hadi hata hapa kwetu, sasa hivi akina Wetangula na Kalonzo ndio malaika na nikikumbuka jinsi walivyokuwa wanapondwa na upinzani kipindi kile wakiwa kwenye serikali.

Hata Obama ameongea kuhusu hili, walivyomzuia kuingilia mambo ya Kenya halafu sasa wapo kwenye upinzani na wanamgeukia na kumwomba.

For the first time u got my like :thumbup: dude
 
Last edited by a moderator:
Iconoclastes You're wrong on this, Tanzania politics have never been issue based, this is the first time am seeing uncertainty on who will clinch the presidency. I am used to seeing a leader handpicked by top honchos of CCM while the moribund opposition playing second fiddle.

It's the first time they are playing the Kenyan style of politics. Where you're not so sure who will win, though they seem to have copied some level of tribalism from us, there is currently a hysterical tribal based politics between Maasais and Sukumas each supporting their respectful leader, they will deny this, but have personally witnessed it.
so r u trying to mean Kenya's elections have been on issues more than Tanzania's stop this stupidity this early morning! Kenya's elections have never been on national agenda but on which tribal cancun should lead! You should have seen how tribal card is backfiring on CCM that has come up with that stupid Kenyan idea! Look at what lembeli and Bulaya rallies outmanoeuvred Magufuli's at his home turf! Muache upumbavu nyie wakenya kujifanya analyst wa politics in Tanzania! The main agenda for this election will be Kikwete and his inner cycle that have for so long deceived Tanzanians that Richmond was Lowassa undertaking only to start realizing he was fixed and forced to remain tight lipped all along to safeguard his political undertakings only to be striken off unconstitutional and indecently at party's Ethics and security committee that was presented with 5 names from Kikwete's pocket! Uache ujuha mjinga wewe...
 
Kuna mtu kama #falcom mombasa huwa najiuliza kweli yupo mombasa! jamaa hatuambii hali ilivyo pale mbona pagum mno kwa sasa, yeye nimtanzania hapati hofu yoyote wakati wenyeji pale wanatuambia wanakerwa sana na hofo ya ualshabb na umombasa cnl! huwa sipendi kuamshwa mtu umepumzika kisha unahamishwa eneo jingine kabisa usiku kwa usiku bila kuelezwa kinachopelekea maamuzi hayo, sijapenda kiukweli kenya mmeharibu mfumo du!

nakaribia kutimiza miaka mitano sasa,hayo unayoyasema ni kweli na wala hakuna jipya hiyo hali nimezoea sasa,lakini effect ya kujadili suala la ugaidi humu ni kubwa,tayari majamaa zangu wengi wamekufa kwa risasi kwa kile kinachoelezwa ni visa vya ugaidi,hapa kenya nimezoea sasa masuala ya kujidai unapenda sana dini iwe yesu au mtume lazima utakufa kifo cha kinyama,ukijidai wewe ni kinara wa kuzoeana na maskari lazima utauwawa.ndio sababu hunioni nikijadili hali ya usalama.
 
so r u trying to mean Kenya's elections have been on issues more than Tanzania's stop this stupidity this early morning! Kenya's elections have never been on national agenda but on which tribal cancun should lead! You should have seen how tribal card is backfiring on CCM that has come up with that stupid Kenyan idea! Look at what lembeli and Bulaya rallies outmanoeuvred Magufuli's at his home turf! Muache upumbavu nyie wakenya kujifanya analyst wa politics in Tanzania! The main agenda for this election will be Kikwete and his inner cycle that have for so long deceived Tanzanians that Richmond was Lowassa undertaking only to start realizing he was fixed and forced to remain tight lipped all along to safeguard his political undertakings only to be striken off unconstitutional and indecently at party's Ethics and security committee that was presented with 5 names from Kikwete's pocket! Uache ujuha mjinga wewe...

Wewe mpumbavu huna hadhi ya kujadili siasa na mimi, hujafikia level hiyo, you are just a bootlicker online activist at the payroll of your masters. I rest my case. I've seen how you've antagonised Tanzanians all over with your stupid analysis on politics.
 
MOTOCHINI Huko kuhamishwa hamishwa inawezekana ulikua unashukiwa kiaina maana kama ni kwa ajili ya mashambulizi ya alshabaab, wewe hawawezi kukushambulia maana ni mvaa kanzu na mandevu kama wao. Na pia shahada unaijua mwanzo mwisho. Fahamu kwa sasa hivi mvaa kanzu aliyetokea Tanzania eti ahubiri pwani, lazima utashukiwa sana, na wenyeji wako lazima wahahakikishe hujatekwa na usalama wa taifa. Kuna mvaa kanzu sheikh fulani pia kutokea Tanzania alihubiri chuki Mombasa, lakini kwa bahati yake akakimbia mapema. Tumechoshwa na wavaa kanzu wanaotokea Tanzania na ambao ni wafuasi wa Alshabaab, na ndio maana uliona siku zikiwa ndefu kwako.
Kuna muda mie huwa sikuelewi! hio chuki yako na wavaa kanzu unawao wazungumzia mmechoshwa, hivi ww unaweza kuwahesebu wavaa kanzu Mombasa? kama kanzu zinavaliwa mombasa sasa unawachukiaje! tumekwenda LAMU hatujaona wavaa kanzu kama Mombasa sasa kama mnachuki hiyo Muweke mpaka Mombasa isiwe kenya, uhalifu simzuri
 
MOTOCHINI Rejelea kauli yangu, naongea kuhusu wavaa kanzu kutokea kwenu, wengi wanahubiri chuki sana. Na ndio maana uliona wenyeji wako walilazimika kukuficha ficha usikumbane na usalama wa taifa. Wavaa kanzu wa kwetu, wengi huwa hawana chuki, wameharibiwa na wanaotokea Somalia na Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI Naomba uwaulize watu kadhaa wakuelimishe kidogo kuhusu nini maana ya "mchambuzi wa siasa", kuanzia hapo ndio utakua tayari kunielewa.

Hongera kwa kurudi kwenu salama, ila kama kawaida ya Watanzania, huwa hamuoni njema popote, mpo watu wa full majungu kwenda mbele. Wewe umekaribishwa Kenya, umekula, kujamba na kunya kwenye vyoo vyetu na unapogeuza na kurudi kwenu, kwa unafiki unaona uongee kuhusu mabaya tu. Aliyewaroga na kuwalaani Watanzania kafia zake mbali na zamani.

Ungekua kweli wewe ni mchambuzi wa mambo huwezi kuja na hoja ya kiujumla ya kusema watanzania? wewe unabishana na mtanzania au watanzania? Mchambuzi wa wapi wewe? Nina wasiwas na uwezo wako wa kuchambua mambo na kuja na hoja zenye mashiko! Kwa mfano, ungekua mchambuzi kweli na unamfuatilia zitto kama ulivyojidai kwenye hoja yako ya kwanza, basi ungejua vizur kwamba hawezi kugombea urais kwa sababu katiba ya tz imeeleza umri ni miaka 40 na zito bado
 
MOTOCHINI Rejelea kauli yangu, naongea kuhusu wavaa kanzu kutokea kwenu, wengi wanahubiri chuki sana. Na ndio maana uliona wenyeji wako walilazimika kukuficha ficha usikumbane na usalama wa taifa. Wavaa kanzu wa kwetu, wengi huwa hawana chuki, wameharibiwa na wanaotokea Somalia na Tanzania.

usiupindishe ukweli,intelejensia ya kenya ni dhaifu sana kuliko tanzania.ndio sababu hata kitambi changu kimeisha sababu ya mikikimikiki ya hapa kenya.inaskitisha sana serikali ya kenya inapojaribu kukwepa lawama kutoka kwa raia wake.kenya ni dhaifu fullstop.
 
Hahahaha mkuu umenichekesha du! nduguyangu mm mpaka nimejiuliza nduguyangu mombasa anaishije! hahahaa da! kiukweli hofu nimbaya usiombe
 
Ungekua kweli wewe ni mchambuzi wa mambo huwezi kuja na hoja ya kiujumla ya kusema watanzania? wewe unabishana na mtanzania au watanzania? Mchambuzi wa wapi wewe? Nina wasiwas na uwezo wako wa kuchambua mambo na kuja na hoja zenye mashiko! Kwa mfano, ungekua mchambuzi kweli na unamfuatilia zitto kama ulivyojidai kwenye hoja yako ya kwanza, basi ungejua vizur kwamba hawezi kugombea urais kwa sababu katiba ya tz imeeleza umri ni miaka 40 na zito bado

Hilo la Watanzania kuwa na majungu kwa lolote nzuri nimeliona sana huko Tanzania. Kwa mfano tu, sasa hivi Watanzania wengi wanaongea mabaya ya Kikwete, wakati kweli amejaribu sana, na kawaida kila binadamu na udhaifu, lakini mheshimiwa Kikwete ametenda. Ila wengi wenu mnamponda kwa kila kitu.

Halafu la Zitto, elewa kitu kinaitwa hypothetically speaking. Nina uelewa ana miaka 39 na katiba inaruhusu kuanzia 40.

Napenda sana kusoma blog yake hii https://zittokabwe.wordpress.com/
Pamoja na kufuata Twitter yake https://twitter.com/zittokabwe
 
nakaribia kutimiza miaka mitano sasa,hayo unayoyasema ni kweli na wala hakuna jipya hiyo hali nimezoea sasa,lakini effect ya kujadili suala la ugaidi humu ni kubwa,tayari majamaa zangu wengi wamekufa kwa risasi kwa kile kinachoelezwa ni visa vya ugaidi,hapa kenya nimezoea sasa masuala ya kujidai unapenda sana dini iwe yesu au mtume lazima utakufa kifo cha kinyama,ukijidai wewe ni kinara wa kuzoeana na maskari lazima utauwawa.ndio sababu hunioni nikijadili hali ya usalama.
Aisee pole nduguyangu maana nimekuja hapo mombasa nimekaa siku 12pekee lakini niliona kama mwaka, amakweli hayo si maishakiukweli yana hitaji watu kama nyie wenye mioyo ya kuthubutu, nilipomefika TANGA sikuamini, Fanya yale yalio kupeleka huko kwa umakini wako na uzoefu huo ulionao, nilipewa kukaimu ualim wa madrasat shurfaa hapo mombasa baada ya mwalim kuwa ktk safari Kuwait mpaka mwezi octoba niliwaereza siwezi kuish Kenya mm hata sikuhizo najutia sana
 
masjid swafaa ya kisauni?
 
11817053_1280039095343839_3636763323397319124_n.jpg

Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowassa amechukua rasmi fomu ya kuwania urais kwa tiketi ya Chadema na kuahidi kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) utashinda urais katika uchaguzi mkuu.
https://www.facebook.com/eatv.tv/ph...303284284098/1280039095343839/?type=1&theater
 
.....this is the first time am seeing uncertainty on who will clinch the presidency....

Un Freaking Believable!, who new this day will come?!...we have come a long way!

I have a dream,...that one day,...a different party,....will rule Tanzania!
I have a dream!
 
Back
Top Bottom