Who knows kwamba yeye si miongoni mwao?
Kama Mwenye Jina hilo ndiye Huyu Pascal wa Jf tunampongeza kwa kuhitimu.
Ila hakika niliyo nayo kama ni huyu wa humu hiyo aliamua kusoma tu ili kujiongezea hazina ya digirii zake kwa manufaa yake binafsi.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Paskal Mayalla katumia miaka yote hiyo kutafuta hiyo degree.sijadharau elimu,naiheshimu sana.
shida yangu ni kupoteza miaka mingi kutafuta hiyo elimu.
imagine jamaa tunayemjadili hapa kapoteza takribani miaka 15 (2003-2018) kutafuta shahada moja.
kwangu mimi huko si kutafuta elimu, ni kutafuta ujinga. pardon my french.
Who knows kwamba yeye si miongoni mwao?
Kama Mwenye Jina hilo ndiye Huyu Pascal wa Jf tunampongeza kwa kuhitimu.
Ila hakika niliyo nayo kama ni huyu wa humu hiyo aliamua kusoma tu ili kujiongezea hazina ya digirii zake kwa manufaa yake binafsi.
Wewe khanisi kwelikweli, mimi siongelei pesa, kaa mezani na Bakhresa kila atowe proposal kichwani kwake ndio utajuwa akili unazaliwa nazo na kuziexperiense kwenye real life na hazipatikani darasani jinga kabisa.Wewe ndo mbwiga kweli. Akili sio pesa. Im talking about the power of reasoning....
Haha jibu basiAibu naona mimi [emoji3][emoji3][emoji23]
Haha kumbe nimekupendeleaSijafika hata [emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
Davido Alberto BashbashHaha jibu basi
Nyie watu mnafikiri kwa kutumia matako yaliyotolewa malinda ndo shida yenu. I cant argue with shit**holes. Ndugu yangu kuna mtu alikaa aligundua hio simu unayotumia kuleta ujinga wako na alikuwa masikini leo unaleta ujinga wako hapa.Wewe khanisi kwelikweli, mimi siongelei pesa, kaa mezani na Bakhresa kila atowe proposal kichwani kwake ndio utajuwa akili unazaliwa nazo na kuziexperiense kwenye real life na hazipatikani darasani jinga kabisa.
Umesomeka vyema.....Mimi sijamjadili pascal wa jf, nimeongelea uhalisia nliokutana nao chuoni na alicholeta mada.
Only bigger logical mind will understand what i said.Only stupid and un-matured person can argue this way. Watanzania tuna kazi sana infact kuna baadhi ya kizazi kipo zama za mawe
mmh!, kwa hiyo miaka ile alipokuwa anaendesha kipindi cha tv cha kitimoto na kufanya kazi kama mwanahabari dtv/chanel ten kumbe alikuwa bado yupo O-level?. salaaalehhh.Yes, akasoma na ku postpone na kurudi tena, reg. ID HAIBADILIKI
Your literally ignorant of your knowledge and understandings..only poor minded person can underestimate the role and significant that education have and still shaping the globe. Being the case its only in Africa where an educated village man can pretend to challenge PhD holder in nuclear physics.Only bigger logical mind will understand what i said.
We are living in a complex globalized world,where the true meaning of education has been lost!!!Education "Draw from within" is what is required the most
Ndio maana nilisema bigger logical mind will understand.Hakuna sehemu nimekataa umuhimu wa elimu!!!Tatizo mtanzania akishasoma anajifanya anajua kila kitu na kwa kuwa binadamu mara nyingi huongea kile anajokijua basi kuna muda inaweza leta shida kwenye kuzungumzia FACTS!!Tumepishana uelewa.Your literally ignorant of your knowledge and understandings..only poor minded person can underestimate the role and significant that education have and still shaping the globe. Being the case its only in Africa where an educated village man can pretend to challenge PhD holder in nuclear physics.
Hongera zake sanaaa. Ila kasotea miaka kumi na ushee?
Hizi za uzeeni sikuhizi niki submit essay ikirudi na pass ninashukuru. Yale mambo ya diction na first class yalikuwa enzi za ujana.Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Hahahah imenilazimu kurudi kucheck comment yako huenda nimekosea kukujibu....ni wewe umeandika huu utumboNdio maana nilisema bigger logical mind will understand.Hakuna sehemu nimekataa umuhimu wa elimu!!!Tatizo mtanzania akishasoma anajifanya anajua kila kitu na kwa kuwa binadamu mara nyingi huongea kila anajokijua basi kuna muda inaweza leta shida kwenye kuzungumzia FACTS!!Tumepishana uelewa.
I cant Argue with you
Stick to your Guns
Good day boss