Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,646
Eeeeh jumapili yangu naona inaenda Murua kabisa .Hizo nguvu zitumie kubadilisha sofa za pale kwenu.. Sofa kuu kuu zilizochanika chanika sio kugombana na wanawake humu..
Nimecheka sana ulivyokuwa mnamnanga Msando kana kwamba unafikia level zake. Kumbe we ni hoe hae tu unashindia kupanda Bajaj na uber ukirudi bongo teh teh teh..
Piga picha hizo streets za ATL unakofanya kazi za kutunza vikongwe teh teh
Jamaa depression itamuua.Eeeeh jumapili yangu naona inaenda Murua kabisa .
Mkuu unajua mengi. Kwani ni verified member ?Jamaa depression itamuua.
Unaambiwa "Utafanikiwa kudanganya kwa muda fulani, lakini huwezi kudanganya wakati wote."
Jamaa alijitia billionea humu, akawa anapost bank statement ana US $ 4m. Hahahaha kumbe jamaa ni hoe hae fix fix nyingi tu. Akirudi bongo anafikia kwenye kijumba kibovu cha mamake pale Mbezi Shule, wakipika dagaa nyumbani anakimbilia kula kwenye vibanda vya chipsi teh teh teh.. Jamaa bongo hata kiwanja hana..
Sema unataka ubuyu tu na weweMkuu unajua mengi. Kwani ni verified member ?
Umejuaje anapokaa ni Mbezi ?
Dada hapana nashangaa tu watu wanajuaje mimi ni fulani wakati natumia ID fakeSema unataka ubuyu tu na wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngabu unachotaka wewe ni kutukanana kiukweli naishia hapa hujanipata miaka 6 nyuma hutonipata.
Utaendelea kuniona hapa hapa ili uumie zaidi na uppumbavu wako uonekane.
Mimi wasukuma nawaheshimu sana unaona hata naandika kwa upole hapa tofauti na nyuma, nakuona kama shemeji yangu nikikutukana nimewatukana shemeji zangu.
Ila kunipiga huwezi, kwa matusi hunipati hapa umejificha nyuma ya keyboard unajifurahisha endelea.
Umefurahi nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafurahia mtu baada ya miaka 6 kapatikana mule mule hata Lowassa alisafishwa aisee akawa sio fisadi eti
Wewe una viwanda vingapi mkuuangewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Waliowekeza mwaka huo wanaviwanda?angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Kwa uelewa wako tangu mwaka huo anasoma tu hafanyi kazi?sijadharau elimu,naiheshimu sana.
shida yangu ni kupoteza miaka mingi kutafuta hiyo elimu.
imagine jamaa tunayemjadili hapa kapoteza takribani miaka 15 (2003-2018) kutafuta shahada moja.
kwangu mimi huko si kutafuta elimu, ni kutafuta ujinga. pardon my french.
Hii ndio comment Bora ya 2019angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Poti unatafutwa huku......ha haaaa....Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
Aisee tangu 2003? Amekomaa sio mchezo yaani hata UDSM ilikua haijabadilisha mfumo wa registration numbers
Hongera Pascal japo umechomoka kwa mbinde kweli kweli, jipange uende law school sasa