Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Yaani ndivo walivo hao, kuna mmoja chuo walimu walimchoka eti alijichelewesha chumba cha mtihani tunakaribia kumaliza ndo anaingia mkuu wa idara akakasirika sana akamchukua hadi utawala akampa mtihani kwa nguvu aufanye kwa hasira akamuambia mwaka huu hadi umalize.

 
Na ndio wakwetu aliambiwa vivyohivyo...ila nilikua namkubali kwenye kununulia watu chakula kipande cha canteen
 
Wewe una viwanda vingapi?.
 
mimi nikajua alishamaliza longtemps,first degree kwa miaka 15,mweh kazi ipo.Hongera sana kwake kwa kumaliza.
 
Ila kuna wengine vilaza kweli mdada naanza chuo yuko mwaka wa 3 hapo amerudia mara moja na kupostpone mwaka mmoja nakaa naye rum moja hostel nimeanza mpaka namkuta mwaka wa 3 tupo course moja nikamburutaburuta kumchanganya mpaka akamaliza.
Piga mahesabu gamba kalisotea miaka mingapi?

Na ndio wakwetu aliambiwa vivyohivyo...ila nilikua namkubali kwenye kununulia watu chakula kipande cha canteen
Kuna sehemu nimequote angalia notifications zako ninasubiri kwa hamu unijibu
 
Kuna watu vilaza tena huyo wa kwako mbona alikuwa genius kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…