Hatimaye ndovu yaikamata tuzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye ndovu yaikamata tuzo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tete'a'tete, Jun 1, 2010.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hehehehe!
  aafu wee teteatete mbona kila nikiarenji tuonane tuzigide ndovu hizo unanikimbia?
  UNAFANYA MAKUSUDI EEH?!
   
 3. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tupange tukutane wapi ila ujipange kisawasawa!! mi nafuta kreti mbili za ndovu...
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi hata saa hizi nishajipanga,we niambie tu ni sinza maeneo gani!leo nitakaa sana huko sinza kuna msiba wa jamaa angu...!
  tukutane baa gani sasa?
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loo! weekend itakuwa poa tukutane pale Sun Cirro unaonaje si unajua kesho kazini mkuu!!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  okay okay!CAN CIRRO...
  noted,ngoja hebu nidipu basi..........!
   
 7. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndio mambo wanayotumia kututia ujinga yaani wenyewe tumefurahi tumepata TUZO ukiuliza kwa nini ETI tunatengeneza ULABU bora kuliko wengine NDIO MAANA HATUENDELEI kazi yetu kuwaza viti virefu tu.!
   
Loading...