Junior Rutashoborwa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 228
- 211
Hongera sana Ruta kwa kukumbuka nyumbani, bila shaka majuzi umeona uzi humu ukionesha kituo cha mabasi kule nyumbani kabisa... I mean, Bukoba!!Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.
Una taaluma gani?Aya boss. Tupe hata ajira basi njaa kali mtaani
Mkuu mimi sio mwenyeji wa Bukoba...napasikia tu...nilikuwa nasimuliwa na bibi...kuwa wazazi wao wanatokea huko...ni asili asili yetu.Hongera sana Ruta kwa kukumbuka nyumbani, bila shaka majuzi umeona uzi humu ukionesha kituo cha mabasi kule nyumbani kabisa... I mean, Bukoba!!
Ningekushauri uje na Engineers wako kabisa ili wakakujengee Uwanja wako wa ndege manake kama kituo cha mabasi tu kipo vile, vipi kuhusu uwanja!
Sio hivyo tu, customer care kwa ndege zetu (domestic flights) ni mbovu sana, kiasi kwamba wanaweza kukuchelewesha kazi zako. Muhimu ni kuja na private jet ili kuondokana na kero za ATCL lakini usitegemee rubani mwenye viwango vyako hapa TZ!
Kwa mwekezaji mzalendo kama wewe, usalama wako ni jambo muhimu lakini serikali yetu haiwezi kuwa ubavu wa kuhakikisha usalama wenye viwango vya mtu wa aina yako.
Sio kama ni yeye.Kama muhaya vile
Nshomile ni nshomile tu hata umpeleke Makunduchi atajifaragua tu kuonyesha yeye ni Nshomile na ana uwezo mkubwa kwao wakti ni lofa tu hata nyumba zao hazina msingi, mshindo kidogo tu nyumba chini.Siku zote mkataa kwao ni mtumwa. Najivunia kuwa mtanzania japokuwa maisha yangu mengi sijaishi Tz.
Jana nimeongea na mama, kaniambia michakato ya chanjo dhidi ya COVID19 ipo mbioni...jana hiyo hiyo kamati ya usalama wa familia yetu iliniambia nijiandae kwenda Tanzania kukamilisha ahadi zangu juu ya uwekezaji katika gesi na madini.
Pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha watanzania wenzangu kwa shida iliyotokea tarehe 8. Naiombea serikali msamaha maana kama wangeruhusu mchezo ule...familia isingeniruhusu nichangamane na watu ambao hawachukui tajadhali dhidi ya corona.
Waziri pole sana kwa kikaripiwa kwa sababu yangu.
Nikifika Tz, nitaenda moja kwa moja katika mji wa Chato kutoa rambirambi zangu kwa niaba ya familia ya prof. Rutashorwa wa Yale University, Marekani.
Kisha nitatembelea miradi ya familia ikiwemo migodi ya dhahabu Chunya , Shinyanga.
Mwisho nitaenda kumuona mjomba Ruge mahabusu.
Muhaya ni muhaya tu awe wa Tandika au Kamachumu tabia zao ni zilezileDah: muhaya on the beat
Kama muhaya vile
๐๐๐๐Mwamsheni uyo
Atajinyea sasa hivi