Hatimaye Nape Nnauye atinga Igunga

Kama habari hii ni kweli basi Nape anajidhalilisha maana ni juzi tu hata wiki haijaisha alisema chama chao kitawaachia watu wa Igunga kufanya kampeni tofauti na upinzani ambao viongozi wote wa kitaifa wataenda huko!!!!!!!! Sasa inashangaza anapolamba matapishi yake!!!!!!!! Who can we trust in that party???????????

........................Nilitegemea Nape atueleze kuhusu umaskini wa watu Igunga na wengine halipopita wakati anaenda Igunga,badala yake anakuja na mipasho na porojo ambazo sidhani kama watanzania tunazihitaji kwasasa...

Wadau yaliyosemwa yameanza kutimia.Jana katibu wa itikadi na uenezi ccm nape nnauye alikutana katika kikao cha siri na vijana wa cuf na ccm huko Igunga katika ukumbi wa Silver C.Hata hivyo inadaiwa mkutano huo ulitibuka baada ya kugundua kuna mfuasi wa chadema alikuwa amejipenyeza ndani.

SOURCE MWANANCHI NEWSPAPER.

Nionavyo mie, huyu Nape huenda kaitwa na Mwigulu maana mambo yanawabana sana huko kwa taarifa tulizonazo, Nape ninavyomfahamu huwa hana msimamo na mara nyingi ni msahaulifu sana na hana uhakika na maneno yake kwa kuwa yeye ni vuvuzera tu aliyebahatika kuaminiwa kinafki na Mkweree. Sishangai kuona threads kibao humu kuhusu Nepi huyu maana najua maana ya propaganda chafu za ccm. Nirudi kwenye hoja ya msingi, by principal sishangai cdm kujipenyeza kwenye kikao cha ccm ila inabidi hizi suvelansi tekniki zao ziwe advanced kidogo, naunga mkono ujasusi wa cdm maana hata hao magamba wanafanya hivyo ila wao kwa teshal levo, na sisi tuiojulikana kirahisi tutaendelea kuwaspy hawa ccm hadi tuone mwisho. Nepi: vipi domo lako chafu lisilobreki nchi nzima kusema RA ni tatizo ccm na sasa unasema alofanya wana igunga wasiyabeze? Na kweli wasiyaneze kaka, kukwapua yale mabilioni epa, kuwa king maker, sio ya kubeza hata kidogo mkuu.

Kikao hicho walikuwa wanapanfa nini? Kuwapa wana Igunga Mbunge kwa maendeleo lazima vikao vya siri ?Au walikuwa wanapanga kuazimana helikopta maana bila hivyo Chadema hawashiki .Wanadhani Chadema wana mvuto kwa ajili ya helikopta waliyo kuwa wanapinga ?

Walikuwa wanapeana mirejesho kaka, ujue hali mbaya sana, huyo mgombea wa ccm tayari data zake zimekamilika na muda wowote zinamwagwa, kikao hicho walikuwa wanapanga wahujumu vp cdm kwa kuwatumia cuf kwa kigezo kwamba kama cuf itakubali basi ccm itakuwa imegawa upinzani kwa kiasi kikubwa, na ndio maana maalim nae anaratiba huko, anataka kupitia cuf hawa ccm wavune kaka, muafaka wa cuf na ccm zanzibar umeathili sana upinzani kaka. Huyo mgombe wa cuf sijui hamnazo?????

habari za uzushi hizi, cdm wameanza kuchemka mapema!!

wewe ndio mzushi.Kati ya waliokuwepo ukumbini kumlaki nape ni katibu wa cuf igunga bw. Michael Maganga.Usidhani gazeti la mwananchi linatoa habari za uongo kama uhuru.

Ina maana ccm na cuf dugu moja? au una maana gani? iweje cuf aingie kwenye mkutano wa ccm? shem on Cuf.

wanaonyesha kwa vitendo muafaka wao..cuf watauza kura zao kwa mgombea wa ccm,.infact hawatauza wata-honor the contract

Sasa hawa Chadema, mambo ya ndani ya Mke na Mume yanawahusu nini! Si wamwache CCM atete na Mkewe!
mzee hapo umelonga - tubaache benyewe baamue mambo yao tena ukizingatia walikuwa ndani duh......

Unapenda ujumbe wa kijinga au na wewe ndo walewale wanaojisahau kwa Tsht na kofia za kijani & janjano

Mwacheni huyo nape, hana consistency kwenye mambo yake. Na wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri kabla hajatoa kauli, domo kaya.

Back
Top Bottom