Hatimaye Nape Nnauye atinga Igunga

Ana maana alivyofika yeye wana Igunga ndio watakipigia chama?au ataenda kuwaeleza jinsi alivyo mfanyia siasa Uchawara RA mpaka akijiuzulu kwa alizoziita siasa uchwara na mwishowe RA mwenyewe kukubali kurudi jukwaani kufanya siasa Uchwara?

Nadhani kaenda kudhihirisha jinsi CCM ilivyo na siasa uchwara ambazo hazimsaidii mwana Igunga so inabidi wapewe likizo ndefu bila malipo
 
Wadau yaliyosemwa yameanza kutimia.Jana katibu wa itikadi na uenezi ccm nape nnauye alikutana katika kikao cha siri na vijana wa cuf na ccm huko Igunga katika ukumbi wa Silver C.Hata hivyo inadaiwa mkutano huo ulitibuka baada ya kugundua kuna mfuasi wa chadema alikuwa amejipenyeza ndani.

SOURCE MWANANCHI NEWSPAPER.

CCM wao ni kununua watu siku zote na hapo TAKUKURU ipo inajua hilo hapo twapigwa chanaga la macho ndio yaleee yaliyo tokea Tarime na ndio yanakuja tokea hapo Igunga.

CUF wana kisa na CDM walipo wapiga chini bungeni kutowapa hata nafasi katika kambi ya upinzani bungeni sasa na wao wanaenda mwonyeshea CDM huko Igunga kuwa wao CUF na CCM ni wapenzi swaaafi bila shaka ndio hilo lilijili katika harakati za kushinda na sibishi kwani mikakati ya CCM huwa ndio hiyo kuwarubuni wapiga kura kutoka kote sasa ndugu zangu CUF walisha ingia mkenge hawato banduka.
 
Sasa hawa Chadema, mambo ya ndani ya Mke na Mume yanawahusu nini! Si wamwache CCM atete na Mkewe!
Ndoa hii itatenganishwa na unafiki tuu wa mume au mke na si vinginevyo.
jk,il,ms. wedding day.jpg jk & ms.jpg
 
Nape ananikumbushia story fulani hivi zamani.......kuna jamaa alikuwa amelala usingizi akawa anaota yupo kwenye mtumbwi ...sasa mtumbwi ukatoboka na jamaa akawa anajitahidi kuziba kile kitobo ili mtumbwi usijae maji na kuzama! Cha ajabu jamaa alipoamka asubuhi akajikuta amejipiga DOLE mwenyewe! Nape naye anafuata hiyo process...usawa huu yupo anaziba kitobo cha mtumbwi....ngoja aamke aone balaa lake!
 
...usawa huu yupo anaziba kitobo cha mtumbwi....ngoja aamke aone balaa lake!

Eti ndoto yenyewe ni kuwa vitobo vipo viwili kimoja kaziba na kidole kingine ikabidi azibe na uume wake sasa kumbe alikuwa amelala na sweke kuamka akakuta uume wake umeingia kwenye ukundu wa sweke.
 
Eti ndoto yenyewe ni kuwa vitobo vipo viwili kimoja kaziba na kidole kingine ikabidi azibe na uume wake sasa kumbe alikuwa amelala na sweke kuamka akakuta uume wake umeingia kwenye ukundu wa sweke.
haha mkuu mimi kule usukumani naitwa Nzagamba...tena Nzagamba mweyewe wa mbegu! Sasa mrembo wenu yule anayepaka wanja hadi mdomoni na mimi wapi wapi? Jaribu kutafuta mfano mwingine usije ukamtusi bure katibu wenu wa uenezi.
 
Huyu kijana ni kichaa. Sasa namkumbuka Kamanda Nchimbi alivyohakikisha hapati namba UVCCM. Kamanda uko wapi ondoa huyu kwenye chama anakiua. Hivi jamani nataka kujua huyu ni mtoto wa Mzee Mnauye kweli? au ni mtoto wa kufikia? Na Baba yake wa kweli ni nani? ANAYEJUA ANIJUZE. MZEE MNAUYE ALIKUWA MTU MAKINI SANA na wazungu husema Like Father Like Son.
 
halafu kwa level ya ukatibu uenezi hakutakiwa kuwa anafanya siasa za kutambiana kitoto namna ile hata kama watu walimzodoa kuwa hawezi kwenda igunga. awaangilie wenzake akina Zitto , Mnyika , Mdee nk walivyotulia...! yaani jama anakuwa hana tofauti na huyu Nduka.
 
Aweza kuwa ndiye (red) sitashangaa.
 
Du eti mwache mke na mume waongeee chumbani?

Ina maana CUF ni wake za CCM?? !!!!!
 
Nadhani hoja za kisiasa ujibiwa kisiasa na si mipasho.Nakumbuka alijitokeza hapa katika thread moja ya ''wapi Nape'',alipata kejeli nyingi hapa kuwa amezuiliwa kwenda Igunga kupitia kikao cha kamati kuu ya Chama (CC).Wengi tuliamini hatokwenda kulingana na uvumi uliokuwepo sasa kama amefika basi kulikuwa na uzushi hapa tukubaliane.

Sidhani kama tunapaswa ku-challenge hili.
Aliambiwa lazima amsujudie Rostam naye ameshagree utamsikia huko hana cha kuongea zaidi atamsifia rostam tu ndipo wamuelewe propaganda tu hizo Mkuu
 
Back
Top Bottom