Hatimaye Nape Nnauye atinga Igunga

Kwani Nape kwenda au kutoenda Igunga kunasaidia nini wakati si mpiga kura,jimbo litaenda kwa kuwa wanaigungfa wameamua kukataa hadaa za ahadi hewa.

Ukiona mtu anaingia kwenye mambo binafsi ya mtu basi ujue kunatatizo kichwani!

ana haki ya kuuliza, ukiwa kiongozi ujue wewe ni kielelezo kwa kila kitu..na kina maana kisiasa.. ACHA KUWEKEA WATU UKOMO WA KUFIKIRI.

Kwani Nape kwenda au kutoenda Igunga kunasaidia nini wakati si mpiga kura,jimbo litaenda kwa kuwa wanaigungfa wameamua kukataa hadaa za ahadi hewa.

Utaelewa umuhimu wake baada ya Magwanda kugalagazwa.

Nadhani hoja za kisiasa ujibiwa kisiasa na si mipasho.Nakumbuka alijitokeza hapa katika thread moja ya ''wapi Nape'',alipata kejeli nyingi hapa kuwa amezuiliwa kwenda Igunga kupitia kikao cha kamati kuu ya Chama (CC).Wengi tuliamini hatokwenda kulingana na uvumi uliokuwepo sasa kama amefika basi kulikuwa na uzushi hapa tukubaliane.

Sidhani kama tunapaswa ku-challenge hili.

mkuu,

1. kama Rostam nae anashiriki kwenye kampeni, unachukuliaje swala la kujivua GAMBA????
2. Je nikisema CCM kigeugeu utasemaje?
3. Tutaamini vipi kama hawajabadili msimamo kama namba mbili inavyouliza?

fire

siasa ina mkondo wake. katibu mwenezi kazi yake ni kusema hadi hatua ya mwisho. No retreat no surrender! Msimpuuze jamaa ana uwezo wa kusema kama marehemu baba yake Brigedia Moses Nnauye. Kama mnataka chadema ipate ushindi jengeni hoja watu /vijana wa igunga wakakipigie chama kura. pili igunga hawana muda wa kusoma jamiiforums. Tukitaka cdm ishinde tujipange sio kashfa jamaa watashinda tutasema wameiba itabaki story. SAMAHANI KUWA UDHI CHLOROQUINE CHUNGU

Bado najiuliza kama atakaa jukwaa moja na Rostam mbele ya wananchi wa igunga ambao wanamachungu ya aliyekuwa mbunge wao alijiondoa kwenye uongozi baada ya kile alichokiita siasa chafu na kuitwa gamba na akina Nape? Sipati picha!

Uwepo wa Nape Igunga ni faraja kwa wapinzani,
1.hawapikiki chungu kimoja na Rostam(sultani wa Igunga),
2.wakati wa kujiuzulu Rostam aliwataja Nape na Chiligati kama vinara wa siasa 'uchwara',
3.Rostam atataka kuonyesha kwamba bila yeye CCM hawashindi Igunga na kumleta Nape kunaweza kupunguza ushirikiano wa Rostam kuleta ushindi,
4.Rostam kaishaonyesha kushirikiana na Upinzani kabla ya sasa kwa kuwapa hela Mbowe/Zitto katika kampeni za chaguzi ndogo.

mkuu,

1. kama Rostam nae anashiriki kwenye kampeni, unachukuliaje swala la kujivua GAMBA????
2. Je nikisema CCM kigeugeu utasemaje?
3. Tutaamini vipi kama hawajabadili msimamo kama namba mbili inavyouliza?

fire

NIMEPENDA SIGNATURE YAKO ,MIMI NINGESHUKA NIPANDE LA LIBYa

Huyu kijana amepata pesa zimemharibia mwili yaani anenepa hovyo siku hizi hata kusimama ni shida, asipo angalia atapata Obesity.
Mama angu mzazi amewahi kuniambia,ukiona mwanaume anamatako makubwa mithili ya mwanamke,ujue huyo hana akili kichwani.
Kwa msemo huu nafikiri Nape unamgusa!

Hivi Nape anatumia mchubuo?

Nadhani dawa za Kurefusha maisha wengine zinawafanya weupe sana, kama siyo hiyo ni Whisky na Jani maana whisky nyingi za Bongo feki wanatengeneza na dawa za hospital za kuoshea vidonda zinauwa sana cell ya juu ya ngozi.

Pia inawezekana Nape alikuwa white ila shida ndio zilimfanya awe mweusi, wapo watu wa aina hiyo pia, maana sasa anakula kiyoyozi na hakutani na vumbi shida zimeamia kwa AC na EL zamu yake sasa, kama ni hivyo wataalam wanaita kanawili huoni hata kitumbo kinavimba compared to wakati anataka kwenda CCJ?!

Nape aache porojo. Muhimu ajue nafasi aliyonayo na kauli anazotoa. Vyovyote iwavyo ataenda kokote apende asipende maana yeye ndo mwenezi wa chama. Asirudie tena kupiga own goals!

Bado mchanga kwenye uenezi acha arukeruke na malinjelinje yake yasio na kichwa wala miguu.

Kama RA alijitoa ubunge huku akimtaja nape na chiligati kama vinara wa siasa uchwara basi nape amepeleka siasa uchwara Igunga! Natamani kusikia kauli ya RA!

Suala si kufika au kutofika Igunga suala ni nini agenda yenu Igunga? Je mtawataarifu wananchi wa Igunga kwa nini mafadhili na mkombozi wao ameondolewa katika ubunge

Hawa ccm wamechanganykiwa, kwa maana hiyo ni sawa na kusema NAPE na ROSTAM waungana kampeni igunga.

...Akiandika katika mtandao wa Facebook "Oooh Nape hataenda Igunga".... Nikiwa Igunga leo asb" USHINDI WA CCM IGUNGA NJIA NYEUPEEEE"
"Mliuliza maswali ya kejeli hapa, nikajaribu kufafanua watu wakaendelea kukejeli tena ni jana tu kuwa mwenezi gani haendi kukisemea chama.. Sasa nipo Igunga njooni mseme tena waungwana.."
I don't think if this guy deserves the post...........ukisoma comments zake nyingi huwa zimebeba ujumbe mwepesi sana na ni za kitoto.
Watu waliposema hawezi kwenda Igunga hawakuwa na maana ya yeye kufika mjini Igunga ni nini atakachowaambia wana Igunga kwa sababu yeye ni mwathirika wa siasa uchwara. Kitendo cha yeye kusema mmeona sasa nimefika Igunga bila kuainisha atamjibu nini Rostamu alipemtaja yeye ni chanzo cha siasa za uchwara hakina maana yeyote kwenye uwanja wa siasa.

I don't think if this guy deserves the post...........ukisoma comments zake nyingi huwa zimebeba ujumbe mwepesi sana na ni za kitoto.

Watu waliposema hawezi kwenda Igunga hawakuwa na maana ya yeye kufika mjini Igunga ni nini atakachowaambia wana Igunga kwa sababu yeye ni mwathirika wa siasa uchwara. Kitendo cha yeye kusema mmeona sasa nimefika Igunga bila kuainisha atamjibu nini Rostamu alipemtaja yeye ni chanzo cha siasa za uchwara hakina maana yeyote kwenye uwanja wa siasa.
kauli yake inaonyesha ni wale aliyewataja Masaburi ni kauli nyepesi inayoonyesha kutokomaa kisiasa na kiakili,imekaa kimipasho/kitaarabu.

Back
Top Bottom