Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,125
- 34,278
Wakuu naoa mimi๐๐
Alooo ๐๐๐Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34.
Wadogo zangu wote walishaoa
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani.
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimiโโฆ..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote.
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli.
Nikatoe kizazi bora.
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Hongera.Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie

Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma
Kuna mwenzio kafungua uzi anaomba fataja huko, amepigwa na kitu chenye ncha kali, wewe unakisogelea, alooWakuu naoa mimi๐๐
Alooo ๐๐๐Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mimi nina masihara sana. Hadi sasa nina miaka 34.
Wadogo zangu wote walishaoa
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee Wazazi walihisi sidindi daah. Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani.
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa.
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mimiโโฆ..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote.
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli.
Nikatoe kizazi bora.
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana.
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
Unamuomba Mungu mtandaoni ??Wakuu naoa mimi๐๐

Hapana natoa ushuhuda mzee kwan nani kasema niko kwene maombiUnamuomba Mungu mtandaoni ??
Jaribu kuwa serious kidogo basi ๐๐๐
Nitawapa mrejesho mwezi mmoja nikiwa katika ndoaKuna mwenzio kafungua uzi anaomba fataja huko, amepigwa na kitu chenye ncha kali, wewe unakisogelea, aloo
Acha uchawiKwa msaada zaidi pitia hapa
Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta tayari nina maisha yangu, nyumba viwanja na mengine ila leo hii anataka mgawanyo. Naamini kabisa...www.jamiiforums.com
[emoji23][emoji23][emoji23]Minaona labda uolewe tu sasa mkuu...[emoji849]
Mamaยฃ[emoji23][emoji23]Andaa jeneza mkuu
Nimepita Kwenye Huu Uzi Aisee InasikitishaKwa msaada zaidi pitia hapa
Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta tayari nina maisha yangu, nyumba viwanja na mengine ila leo hii anataka mgawanyo. Naamini kabisa...www.jamiiforums.com
Kwani bado tu dronedrake hajatia neno hapa?
Ni huzuni mkuuNimepita Kwenye Huu Uzi Aisee Inasikitisha
eeeh kumbeMinaona labda uolewe tu sasa mkuu...๐
kwaiyo mkuu unanishaurijeHongera kwa kuyakimbilia matatizo kwa kasi sana. Kila la heri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha dah๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHongera sana mkuu pia usisahau kupitia ule uzi wa jamaa kugawana mali na mke wake ifikapo kesho
Mkuu wee oa tafrisi ya ndoa kila mtu ana ya kwake..kwaiyo mkuu unanishaurije
Achaneni tu na mfumo dume mkubali haki sawa ili msiumie kugawana mali na wake zenuHongera sana mkuu pia usisahau kupitia ule uzi wa jamaa kugawana mali na mke wake ifikapo kesho