Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,359
mwanangu nimeusoma nikasema alaah haya mambo yapoHongera sana mkuu pua usisahau kupitia ule uzi wa jamaa kugawana mali na mke wake ifikapo kesho
asante mwanangu wa damNaikawe Heli chief Ramadhan kariim
ππππmkuu huu uzi nimeusoma yaan hapa nishaongea na jamaa angu mwanasheria kanihakikishia As long ye yupo hatuwez gawana mali nilizochuma mmKwa msaada zaidi pitia hapa
Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa
Nahisi kuchanganya sana, hukumu tar 8 mwezi huu, shida yangu sio kuachana naye au kwamba siwezi maisha bila yeye bali naumia sana swala kugawana mali kichwa inawaka moto na katika ukweli amenikuta tayari nina maisha yangu, nyumba viwanja na mengine ila leo hii anataka mgawanyo. Naamini kabisa...www.jamiiforums.com
πππNaoa mkuuPole Mkuu.
Cheers madam wa jfOa nijambo jema
Shukran mkuu na ikawe kama maneno yakoWasikutishe na comment zao ili uone ndoa ni mbaya,Ikawe ndoa ya furaha kama yangu .
Mambo sinyorita...πOa nijambo jema
Kwa hapo....Cheers madam wa jf
Sawa mkuuππππmkuu huu uzi nimeusoma yaan hapa nishaongea na jamaa angu mwanasheria kanihakikishia As long ye yupo hatuwez gawana mali nilizochuma mm