Hatimaye nafasi ya Dr. Kitila Mkumbo yapata mtu-Udsm

Prof.Mukandara asikanyage Mlimani City

cc: Singidani.
 
An acting Dean Dr.CONSOLATHA CHUWA.

1452022_430287127070990_908919618_n.jpg

===============

Duh...Chadema wamezidi...ukanda na udini mpaka UDSM...wamemng'oa Dr Kitila nafasi wanampa mChagga mwenzao. Huyu ni mpwa wa Mzee Mtei huyu the the teeh...Nyambaff, hamchelewi kusema hivyo, but we still ROCK!
 
unaitaji kuwekwa chini hapo kwa akili yako ya kipumbaf
attachment.php
 
This message has been deleted by AZ 89
 
ktk kila sector unayoingia ktk ardhi ya nchi hii...ukiambiwa pick Id ya mtu kuna zaidi ya 96% yaku pick mchaga.I wonder km watasusia hela,elimu, na kujituma kwa vile vinashikiliwa na wachaga.
 
Duh...Chadema wamezidi...ukanda na udini mpaka UDSM...wamemng'oa Dr Kitila nafasi wanampa mChagga mwenzao. Huyu ni mpwa wa Mzee Mtei huyu the the teeh...Nyambaff, hamchelewi kusema hivyo, but we still ROCK!

Udsm asilimia kubwa ya maprofesa na ma dk ni wachaga, kafanye reseach, hawa jamaa ni noma kwa kisomo, juzi Rais kamteua Felishian Mramba kuwa mkurugenzi wa Tanesko nae ni Mangimeza! JAMAA WAMESOMA WALA HAKUNA UPENDELEO.. Wengine wanakesha vijiweni kazi kulalamika, wenzao wako madarasani! Chukueni hatua.
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

unashangaa nini?ccm walimfanya kitilla kopo la chooni ! Likishafanya kazi yake,kinachofuata ni kulitupa.
 
Maumivu maana home boy kapatwa na mabaya. Namuombea kwa mungu apate kujjienga na aimarike vema, hii ni changamoto tu.
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

Hiyo chenga ya mwili.... ni imani waliyo nayo kuwa watu wata amini kuwa huyu mtu hahusiki. Lakini kumbuka kuwa Kitila Mkumbo hajaingia katika siasa leo wala jana na wao wanalitambua hilo. Pia kumbuka alipata hiyo promotion hata akiwa anafanya siasa bila kificho kupitia mikutano na midahalo ya wazi nchi nzima. Sasa yeye leo kunyang'anywa hicho cheo wanafikiri watu hawajui kuwa historia ya wazi ipo kuhusu huyu ndugu kushiriki katika siasa tena katika level ya utendaji. Ifike mahali turuhusu vichwa vyetu kufikiri japo hata kidogo (We need to be rational). Hapa hadanganywi mtu nimeshawahi hudhuria mkutano wa Chadema 2011 uwanja wa Shule ya Msingi Makuburi. Kati ya viongozi walio ongea na Dk Kitila Mkumbo ni mmoja wao. Alikiri wazi wazi kuwa ndani ya Jumuia ya UDSM wapo wengi wafuasi wa CDM lakini yeye ameamua kuwa wazi katika ushiriki wake. So inafahamika kuwa ni siku nyingi ameshiriki katika siasa. Kwanini asimamishwe sasa hivi kama sio unafiki wa watu wachache.
 
Mwekundu, kwa wengi wetu hili ni la kushangaza! Hivi kweli Dr Mkumbo uongozi wake katika CHADEMA ulikuwa haujulikani siku zote hizi mpaka baada ya matukio ya hivi karibuni? UOD watakuwa wanaishi sayari ingine siyo hii ya kwetu ikiwa hawakuwa na taarifa sahihi za kisiasa za Dr.
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

Hiyo chenga ya mwili.... ni imani waliyo nayo kuwa watu wata amini kuwa huyu mtu hahusiki. Lakini kumbuka kuwa Kitila Mkumbo hajaingia katika siasa leo wala jana na wao wanalitambua hilo. Pia kumbuka alipata hiyo promotion hata akiwa anafanya siasa bila kificho kupitia mikutano na midahalo ya wazi nchi nzima. Sasa yeye leo kunyang'anywa hicho cheo wanafikiri watu hawajui kuwa historia ya wazi ipo kuhusu huyu ndugu kushiriki katika siasa tena katika level ya utendaji. Ifike mahali turuhusu vichwa vyetu kufikiri japo hata kidogo (We need to be rational). Hapa hadanganywi mtu nimeshawahi hudhuria mkutano wa Chadema 2011 uwanja wa Shule ya Msingi Makuburi. Kati ya viongozi walio ongea na Dk Kitila Mkumbo ni mmoja wao. Alikiri wazi wazi kuwa ndani ya Jumuia ya UDSM wapo wengi wafuasi wa CDM lakini yeye ameamua kuwa wazi katika ushiriki wake. So inafahamika kuwa ni siku nyingi ameshiriki katika siasa. Kwanini asimamishwe sasa hivi kama sio unafiki wa watu wachache.
 
Fungu la Kukosa...

Kweli nimeamini wa moja havai mbili. Dhambi ya usaliti itamuandama huyu Kitila kokote aendako, ngoja tusubiri na KANISANI anakosali nini kitanuka

mkuu, kwani kosa la dr kitila kwa chama ni lipi? kwani kuwa mkweli kwa ajili ya kuboresha chama ni usaliti - kwa mawazo ya aina yako ni bora mkoloni mweusi aendelee kushika hatamu mwaka 2015!! chama gani huruhusiwi kukosoa uongozi, au umeskia mbowe na dr ni malaika wasiokosea?!! by the way, naomba ujipe muda uusome na waraka wa the late chacha wangwe kisha urudi hapa utuambia tuhuma zake kushabihiana na wakatia za akina dr kitila ni bahati mbaya au kuna jambo chini ya kapeti!! ifike mahali wanachadema kama tunataka mabadiliko ya kweli tuwe wakweli dhidi ya viongozi wetu tuache unafki kama maccm!!!!!!!!!!!!
 
Duh...Chadema wamezidi...ukanda na udini mpaka UDSM...wamemng'oa Dr Kitila nafasi wanampa mChagga mwenzao. Huyu ni mpwa wa Mzee Mtei huyu the the teeh...Nyambaff, hamchelewi kusema hivyo, but we still ROCK!

Nimekusoma mkuu! Hahahaha, CDM bhana!
 
Hiyo chenga ya mwili.... ni imani waliyo nayo kuwa watu wata amini kuwa huyu mtu hahusiki. Lakini kumbuka kuwa Kitila Mkumbo hajaingia katika siasa leo wala jana na wao wanalitambua hilo. Pia kumbuka alipata hiyo promotion hata akiwa anafanya siasa bila kificho kupitia mikutano na midahalo ya wazi nchi nzima. Sasa yeye leo kunyang'anywa hicho cheo wanafikiri watu hawajui kuwa historia ya wazi ipo kuhusu huyu ndugu kushiriki katika siasa tena katika level ya utendaji. Ifike mahali turuhusu vichwa vyetu kufikiri japo hata kidogo (We need to be rational). Hapa hadanganywi mtu nimeshawahi hudhuria mkutano wa Chadema 2011 uwanja wa Shule ya Msingi Makuburi. Kati ya viongozi walio ongea na Dk Kitila Mkumbo ni mmoja wao. Alikiri wazi wazi kuwa ndani ya Jumuia ya UDSM wapo wengi wafuasi wa CDM lakini yeye ameamua kuwa wazi katika ushiriki wake. So inafahamika kuwa ni siku nyingi ameshiriki katika siasa. Kwanini asimamishwe sasa hivi kama sio unafiki wa watu wachache.

mkuu, inaonekana we sio chadema shabiki unafikiri - swali, naamini umeusoma waraka wote wa dr kitila, kwani usaliti wake pale uko wapi dhidi ya CDM? uelewa wangu ni kwamba ukitaja neno usaliti ktk waraka ule moja kwa moja utaonesha sehemu flani dr kitila akiwasapoti ccm ili hali yupo CDM......ufanunuzi tafadhali
 
Udsm asilimia kubwa ya maprofesa na ma dk ni wachaga, kafanye reseach, hawa jamaa ni noma kwa kisomo, juzi Rais kamteua Felishian Mramba kuwa mkurugenzi wa Tanesko nae ni Mangimeza! JAMAA WAMESOMA WALA HAKUNA UPENDELEO.. Wengine wanakesha vijiweni kazi kulalamika, wenzao wako madarasani! Chukueni hatua.

mkuu, ukweli ni kwamba ktk mambo ya kitaalamu mambo ya ukabila ni ngumu kulithibitisha....turudi kwenye siasa hususani ndani ya chama cdm. Naomba unipe sababu angalau moja strong ni kwa nn lema alilipuka hapa jf bila kutumia vikao vya ndani ya chama kama katiba ya chama ya mwaka 2006 ibara ya 10 inavyoagiza na hajachukuliwa hatua na uongozi hadi leo?! usisahau na kilewo katibu wa cdm kinondoni aliyeweka kwenye blog yake tuhuma za kumchafua zzk (by then ni kiongozi wetu!) na amebaki salama hadi leo?
 
Hizo nafasi si za milele utakaa muda ukifika utawaachia wenzako na baadae unaweza ukarudi tena ni kama rotation
 
Binafsi naweza kusema Dr.Kitila bado anahitajika sana kwenye uga wa taaluma kuliko kwenye siasa,as long as ana umri mdogo ajikite kwenye fani yake ya ualim(uhadhiri)me ameni-inspire sana,alikua ni miongon mwa ma-Dr vijana UDSM,na hata sasa,,,,,namuombea mungu kwenye safar yake ya kitaaluma,aachane na siasa
 
Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu (Zamani mkristo)
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Wakuu wa Mikoa 65% ni Waislamu.
Wakuu wa Wilaya 80% ni waislamu

Je, CCM ni chama cha kiislamu?
 
Back
Top Bottom