Hatimaye nafasi ya Dr. Kitila Mkumbo yapata mtu-Udsm

Hatimaye nafasi ya Dr. Kitila Mkumbo yapata mtu-Udsm

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341

An acting Dean Dr.CONSOLATHA CHUWA.

1452022_430287127070990_908919618_n.jpg

===============

 
Hiyo barua haisomeki mukubwa...
 
Who has been appointed?

"Dr. Hilary Dachi is now our new Dean at the School of Education as a Successor of Professor Bhalalusesa"..kwani Blalalusesa ndio mkumbo? maana ndo inavosomeka kwenye hiyo link..
 
Fungu la Kukosa...

Kweli nimeamini wa moja havai mbili. Dhambi ya usaliti itamuandama huyu Kitila kokote aendako, ngoja tusubiri na KANISANI anakosali nini kitanuka
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

mkuu watu wote sasa wanataka ukombozi wa kweli ikulu, serikalini , vyuoni na kwingineko.muda wa mabadiliko
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

Hata kondom inakusaidia kazi yake ikiisha inatupwa
 
dah......... sasa chakujiuliza kama Kitilla alikua anatumika na CCM kuivuruga chadema mbona wamemtosa majanga haya yametokea?
shtuka ,jitambue

That is the price he's paying for failing the mission they entrusted him with.
 
kwenye uzi kama huu, ccm hawakanyagi, haya sasa wahamasisheni wanafunzi waaanze kuhama vyuo
 
Haya sasa Dr. Kitila na yeye atasema ule waraka hakuuandika na haujui ni wa Muigamba.
 
Back
Top Bottom