Hatimaye nafasi ya Dr. Kitila Mkumbo yapata mtu-Udsm

Hatimaye nafasi ya Dr. Kitila Mkumbo yapata mtu-Udsm

Kitila kanisikitisha sana ,alitakiwa achague siasa ama Utumishi wa umma..sasa kwenye chama ana cheo na kwenye utumishi wa umma ana cheo.Hapo alichemsha kwa kweli
 
Kitila kanisikitisha sana ,alitakiwa achague siasa ama Utumishi wa umma..sasa kwenye chama ana cheo na kwenye utumishi wa umma ana cheo.Hapo alichemsha kwa kweli

Hili tukio limenikumbusha miiko ya Azimio la Arusha machache yake pata hapa;
Usiwe na mishahara miwili
Usiwe na nyumba ya kupangisha
Enzi za mwalimu dr.kitila ilikuwa OUT
 
mkuu, inaonekana we sio chadema shabiki unafikiri - swali, naamini umeusoma waraka wote wa dr kitila, kwani usaliti wake pale uko wapi dhidi ya CDM? uelewa wangu ni kwamba ukitaja neno usaliti ktk waraka ule moja kwa moja utaonesha sehemu flani dr kitila akiwasapoti ccm ili hali yupo CDM......ufanunuzi tafadhali

Hapa naona tunapishana kitu kidogo sana.... ukiangalia mchango wangu katika hili ni kuhusu wahusika kujua kama Dr. Kitila Mkumbo alipokuwa promoted ilikuwa wazi kabisa ikijulikana kujihusisha na siasa. Sasa kuvuliwa kwake madaraka ndani ya jumuiya ya UDSM ni unafiki tu. Swali la kujiuliza ni kwa nini avuliwe uongozi sasa hivi kwa sababu walizo ziainisha ili hali hizo sababu zilikuwepo hata alipo pata promotion? Hoja ya msingi iko hapo sio suala la mimi kuwa mwanachama au kutokuwa mwanachama wa CDM. Nadhani umenielewa. Mimi sizungumzii suala la huo waraka ila ni unafiki wa viongozi wa UDSM katika hili la kuvuliwa madaraka kwa Dr. Kitila Mkumbo.
 
That is the price he's paying for failing the mission they entrusted him with.
mkuu tulifikirie kwa kina hili,sio ki simple simple is it possible kweli<CCM wasikupe security?
 
"Dr. Hilary Dachi is now our new Dean at the School of Education as a Successor of Professor Bhalalusesa"..kwani Blalalusesa ndio mkumbo? maana ndo inavosomeka kwenye hiyo link..

Mkumbo, alikuwa dean wa Education Psychology
 
Hahaha... na wengine watazira na kuhama UD kwenga SUA au Mzumbe..

Sasa! We huoni kuwa na UDSM kuna ukanda na ukabila? Eti unamtoa Kitila na kumweka Chuwa? Ngoja wanafunzi wa Tumaini, SAUT na kwingineko waandamane na kutoa tamko kuwa kaonewa kwa vile huko UDSM kuna ukanda. Cheza na Kitila wewe? Watu wameenda kusoma pale kwa kumfuata Kitila sio elimu bwana!
 
Udsm asilimia kubwa ya maprofesa na ma dk ni wachaga, kafanye reseach, hawa jamaa ni noma kwa kisomo, juzi Rais kamteua Felishian Mramba kuwa mkurugenzi wa Tanesko nae ni Mangimeza! JAMAA WAMESOMA WALA HAKUNA UPENDELEO.. Wengine wanakesha vijiweni kazi kulalamika, wenzao wako madarasani! Chukueni hatua.

Wewe acha wewe! Hata Kigoma watu tumesoma sana, tunaye Zitto na Dr Kabouru. Usicheze na elimu yetu na siye.
 
Sasa! We huoni kuwa na UDSM kuna ukanda na ukabila? Eti unamtoa Kitila na kumweka Chuwa? Ngoja wanafunzi wa Tumaini, SAUT na kwingineko waandamane na kutoa tamko kuwa kaonewa kwa vile huko UDSM kuna ukanda. Cheza na Kitila wewe? Watu wameenda kusoma pale kwa kumfuata Kitila sio elimu bwana!

sio rahisi
 
Dr ameanza kupata stahiki yake baada ya usaliti kule chadema,na wakija kutuhoji wale watu wa tume inayomchunguza,tutawaambia hakujiudhulu mwaka2010 ila tumemfukuza juzi sisi wenyewe ili akaangwe vizuri huko
 
mkuu tulifikirie kwa kina hili,sio ki simple simple is it possible kweli<CCM wasikupe security?

siku hizi unaonyesha dalili za kurudiwa na akili,buku 7 hawatoi siku hizi au?
 
Back
Top Bottom