vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Of koz asilimia kubwa ya watanzania hawajawahi kutoka nje ya nchi hii....Tukiachilia mbali wale wa mikoani ambao hata kukanyaga mjini (dar) hawajawahi kwa hasira wakaamua kutusema wanaume wa dar....
Anyways, nilikuwa napata tabu sana kuwa miongoni mwa watanzania ambao hawajawahi kuvuka mpaka wa nchi hii, japo nilikuwa nikijipa moyo kuwa naenzi utaratibu wa mkuu wa kaya japo naye juzi kati akanisaliti....
Kuna mijamaa mingi, pamoja na viongozi wa dini....Wakiwa katika speech zao lazma wataingiza maneno kama...."Mfano mwaka juzi nilipokuwa ujerumani" au "Hali kama hii niliikuta india" au "Hata nilipotembelea nchi za ulaya sikuwahi kuona hali hii"...nk.............Wengine wataongea mada tofauti lakini watalazimisha mpaka watoe experience yao ya nje ya nchi...
Sasa hatimaye nami wiki ijayo natoka nje ya nchi....Naenda nchi za nje.....So nami katika comments zangu za JF za wiki chache zijazo msishangae nikitoa experience yangu...Na nitazungumza tu hata kama ntakuwa nje ya mada....
Wiki ijayo naenda Zambia....of coz naenda kwa lori, lakini the bottom line ni kuwa naenda nje ya nchi.....Nchi za nje....
Eeeh mungu niepushe na husda za watu isije safari yangu ikafa....
Dah siamini macho yangu aisee....Nchi za nje!!!!?Noma sana