Hatimaye na Mimi yamenikuta


Mwambie asiwazeee.....nyuzi inasindikizwa na kamziki kidogo
 
Kama umemuacha basi ,hongera inatosha.

MSALITI AKIFUMWA, HASTAHILI KUSAMEHEWA.
 
Kuna siku nilipanda daladala sasa akaja mjuba akaka seat niliyo kuwa nmekaa na mim"" simfaham wala nn akaniulza ndugu umeoa nikamwambia hapana!! Akasema usioe kwanza kula maisha maana wanawake sio watu inawezekana ni majini awa
 
We nae acha kulialia aiseh....sa umeniacha kisa kakucheat....we rudiana nae bn

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Dawa ni kummegea mke wake ngoma iwe droo
 
Am real sorry kwa kilichokukuta binafsi ndoa yangu ya miaka karibia saba na watoto imeota mbawa na chanzo ni mke kuchepuka na kupanga kuamia kwa hawara,binafsi nilitumia hasira Nina mdhuru ila wewe nakupongeza kwa ujasiri ulio nao.
Kifupi wanawake hawapendi utulivu wanapenda kuishi kwa wasiwasi ili wawe wanapambana kukutuliza... Kifupi wanawake wa siku hizi hawawezi kutulia na mwanamume mmoja.
 
Mkuu sikujui hunijui ila ka umeoa na uko salama mwombe Mungu kesho iwe salama pia...

Mi mke alikua namkojolesha mpaka anakunya lakini alichepuka nikiwa naye..

Jamaa yangu kamfungulia mkewe biashara mkuubwa nje kampeleka magari kamnunulia mkewe na mahela huu na bado mke akawa anagawa nje..

Ndugu yangu hawa viumbe Mungu alisema tuishi nao kwa akili sio kama alikua hajui anaelewa akili zao..so jitahidi saana kutolaumu mwenzio anapofeli kwenye ndoa yake binafsi nilikuana mtazamo kama wako yalipo Nikita ndo nikaelewa kwa nn ndoa unapewa cheti mwanzoni kabla ya kuimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…