Hatimaye mvua imeanza kunyesha arusha:-

Hatimaye mvua imeanza kunyesha arusha:-

Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali!


Town ipi mkuu mbona hapa maeneo ya AICC ,Immigration, Mifugo na kwa DC, Manispaa, kwa RC tumeshindwa kwenda lunch mvua imemwagika sana na tunamshukuru Mungu kwani tuna ujasiri wa kuandaa mashamba sasa.
 
Hii naona ni kipindi cha mavuno kwa Madereva Taxi!
 
ufunguzi wa jiji vipi huko .... ubwabwa tayari ..... au watu wa rchuga mnataka trupa
 
Hamja maliza kulipoti.Sijasikia wa sekei,sombetini ngusero,njiro,mitaa ya matongee nk
 
Mhandisi ni habari njema maana ng'ombe walikuwa wanakula kwa tabu!BTW nina habari njema

sasa tatizo ulilo nalo mhandisi.......hupokei redio......au upo frequency gani.......?
 
Manyunyu i.e ni upepo unapita..!
 
Sasa hivi kitu inakata vumbi iliyosheheni, sijui walioko uwanjani hali ikoje!

mkuu nipo dodoma mvua kubwa pia huku imenyesha na imeleta kabaridi 'flani'. Hapana shaka hali ya hewa hii ni 'rafiki' haswa kwa wale wabunge vicheche wasiojua kutekeleza wajibu wao!!
 
Hiyo mvua ilikuwa inasubiri Arusha itangazwe jiji ndipo inyeshe? Au imeletwa na JK?
ndiyo, mvua imenyesha ndani ya jiji la Arusha. JK ana baraka sana ndo maana mvua zimenyesha leo ndani ya jiji.
 
Town ipi mkuu mbona hapa maeneo ya AICC ,Immigration, Mifugo na kwa DC, Manispaa, kwa RC tumeshindwa kwenda lunch mvua imemwagika sana na tunamshukuru Mungu kwani tuna ujasiri wa kuandaa mashamba sasa.
Ni kweli mvua imenyesha kubwa sana katikati ya jiji la Arusha. nilikuwa maeneo ya AICC nikalowana lubega yangu yote. Sasa huyo jamaa anayemdanganya mwenzake kuwa mvua haikunyesha jijini anapata faida gani?
 
Back
Top Bottom