Hatimaye mvua imeanza kunyesha arusha:-

Hatimaye mvua imeanza kunyesha arusha:-

kamkoda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
396
Reaction score
71
Sasa hivi kitu inakata vumbi iliyosheheni, sijui walioko uwanjani hali ikoje!
 
Acha uongo...mbona hakuna mvua zaidi ya wingu
 
Jamani!...mvua nayo imkuwa ya mgao!?
 
Hiyo mvua ilikuwa inasubiri Arusha itangazwe jiji ndipo inyeshe? Au imeletwa na JK?
 
Nimekinga pipa zima limejaa maji...!
 
Uku ungalimited mpaka sasa inanyesha, tena mvua kubwa
 
Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali!
 
Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali!

mbele ya Sakina kama unaenda Namanga ndio usiseme......mafuriko kabisa.....
 
Nipo hapa mwenge wingu imetanda na mvua imeanza kunyesha wstu wanatawanyika
 
Aya !kwa hapa longijavhe inaigia ndani sasa kupilia dirishani.
 
Ssa utaona hawa jamaa wa Idara ya maji watakavyo fungulia maji machafu kwa fujo.
 
niko hapa msikiti wa bondeni...kumejaa maji balaa mvua ni kubwa sana.....mamlaka ya hali ya hewa wamedhihirisha ushupavu wao na uzalendo na umakini kabisa kitu ambacho kinazidi kuiletea sifa sirikali sikivu ya wazalendo wa ccm:majani7:
 
hah! sabasita mvua na ccm wapi na wapi afu unajua yule mama wa hali ya hewa chama gani?
 
Bado nipo maeneo ya mwenge mvua bado ni kubwa na mafuriko kila mahala hivi sasa..
 
Back
Top Bottom