R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,281
- 5,328
Mkuu pale Muhimbili kabla ya kuchukua mwili unaambiwa uende kwa muhasibu ukaangalie deni lako.Unasema mlikuta bill ya 29.9 milion. Na mimi nauliza hivi kwani mtu akitibiwa kwa mfuko wa bima (NHIF) ndugu wanaletewa tena bill mkononi? Ninavyoelewa hizo gharama huwa zinajumlishwa na hospitali husika na kwisha kupelekwa kwa mamla husika ya bima. Huenda kuna kitu nimeshindwa kuelewa.
Pili unadhani kuna mtu hapendi kuwa na bima? asilimia kubwa ya watanzania hawawezi kumudu gharama za kukata hizo bima.
Hivyo muhasibu anakupa bill yote ikiwepo na ile ambayo inalipwa na BIMA hivyo muhasibu atakuelekeza kipi mnatakacholipia na kipi kitalipwa na BIMA hivyo ndio maana unajua kuwa ni jinsi gani BIMA ilivyo na manufaa .
Bima sasa hivi ni nafuu sana kwani kwa TZS 192000/= inatosha kumlipia mtu mmoja hivyo mnajipanga kama familia mnachanga inakuwa helpful kwenu ikitokea ugonjw mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app