Wakuu inaonyesha (tetesi) Mubaraka ameondoka Misri yeye na familia yake ila destination bado haijajulikana na wala haijulikani kama ndo kaachia madaraka au vipi?
Source; Aljazeera
Mubarak and his family has left Cairo. Source: Aljazeer live, France 24 news, ABC News, and msnbc news. Sasa ivi.
Ndio nitolee hiyo. Jana angewaambia anajiuzulu, wale wananchi wangewehuka na kumfuata huko huko IKULU. Kajiondokea kimya kimya!
One million dollar question: who might be the interim leader of this nation now?
Akamatwe arejeshwe Misri na arejeshe mabilioni ya Dola alizowaibia wamisiri na liwe fundisho kwa wengine/![]()
BBCBreaking BBC Breaking News
Persistent reports President Mubarak off to his Sharm El Sheikh palace. Far from Cairo, but still in #Egypt - via @FrankRGardner
Kama ameelekea Dubai basi inasemekana atakaa hapa:
View attachment 22714
Omar Suleiman, the current Egyptian VP
Maji yamemzidi kaamua kutimkia mafichoni, hata hotuba aliyoitoa jana haikutoka kwenye kasri yake. Hilo ni fundisho kwa JK na CCM yake