[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Jk haloo mzee mkapa mzee salama nipe ripoti za uchaguzi jk huko zenji mambo mazito bwm sawa nipe nusu saa mkapa huyo zenji ndani ya zec mzee jecha vipi huku kukoje? jecha hali siyo kabisa mkapa pumbavu kabisa ina maana hujui cha kufanya futa uchaguzi haraka jecha sawa mkapa jk na wewe ni lofa kabisa huko mwanza kuna mtoto kagoma kusaini ngoja na huko niende nchi hii haikupatikana kwa makaratasi
Kwahiyo unataka Mungu ampende zaidi?Hongera saana ndugu jecha.
Ila Mungu akulipe sawa sawa na matendo yako
Kwa hisani ya Kingasharon😀😛JK: haloo mzee
Mkapa:mzee salama nipe ripoti za uchaguzi
JK: huko zenji mambo mazito bwana mkubwa
Mkapa: sawa nipe nusu saa
mkapa huyoooo zenji ndani ya ZEC
Mkapa: Mzee jecha vipi huku kukoje?
Jecha hali siyo kabisa
Mkapa: Pumbavu kabisa na zwazwa wewe. Ina maana hujui cha kufanya futa uchaguzi haraka!
Jecha: Sawa mkuuu.
Mkapa: JK na wewe ni wapumbavu na malofa kabisa. Huko mwanza kuna mtoto kagoma kusaini ngoja na huko niende nchi hii haikupatikana kwa makaratasi
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha amemaliza muda wake wa majukumu ya tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kilichoanzia Aprili 30,2 013 hadi Aprili 29, 2018 ambapo yeye na wajumbe wa tume hiyo wamekabidhi ripoti yao ya kazi.
Akitoa taarifa yake kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Jecha amesema kuwa tume inaamini kwamba, mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa majukumu yake hasa ya kiuchaguzi yalitokana na ushirikiano wa wadau mbalimbali na wananchi kwa jumla.
"Ndani ya miaka mitano tume imeweza kuendesha jumla ya chaguzi ndogo nne, zikiwemo chaguzi ndogo tatu za Udiwani na chaguzi moja ya uwakilishi pamoja na kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,2015 na ule wa marudio yake Machi 20, 2016. Tume imefanya mapitio ya majimbo ya uchaguzi na kubadilisha mipaka ya majimbo ya uchaguzi, majina ya majimbo na kuongeza idadi ya majimbo kutoka 50 hadi 54", ameeleza Jecha.
Pamoja na hayo, Jecha ameendelea kwa kusema "Tume imeweza kufanya uandikishaji wa wapiga kura kwa awamu mbili na kuliendeleza daftari la kudumu la wapiga kura sambamba na kuendesha programu mbalimbali za elimu ya wapiga kura kupitia vyombo vya habari, mikutano ya wadau, uchapishaji wa vipeperushi, majarida na makala mbalimbali".
Aidha, Mwenyekiti huyo amemueleza Dkt. Shein kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imechaguliwa kuwa kiongozi wa Uchaguzi Mkuu wa nchini Congo utakaofanyika mwezi Disemba mwaka huu.
Kwa upande wake, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameipongeza Tume hiyo kwa kutekeleza vyema majukumu yake ndani ya miaka mitano kwa kuendesha chaguzi zote .
"Tume hii inastahiki pongezi kwa kuifanikisha vyema kazi waliyopewa ikiwa ni pamoja na kuendesha chaguzi zote ukiwemo uchaguzi Mkuu, chaguzi ndogo na ule uchaguzi wa marudio ambazo zote hizo zilifanywa kwa ufanisi mkubwa", amesema Dkt. Shein.
Wajumbe wa tume hiyo ambao wamemaliza muda wao ni Mwenyekiti mwenyewe Jecha Salim Jecha, Jaji Abdul-hakim Ameir Issa, Balozi Omar Ramadhan Mapuri, Nassor Khamis Mohammed, Ayoub Bakari Hamad, Haji Ramadhan Haji na Salmin Senga Salmin ambao wote hao waliapishwa rasmi Mei,4, 2013.
Chanzo: EATV
Je utamkumbuka huyu jamaa kwa lipi maishani mwako?
Soma: Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu
Hahahahaha Mungu anampenda kila siku huyu. Sema hataki kupendeka.Kwahiyo unataka Mungu ampende zaidi?
Kifo nakikubali sana.
Huwa hakiangalii cheo
Kikimzonga mtu anakuwa mpole
Anakuwa mzito hajiwezi tena
Ndipo matendo ya mtu hutangulia mbele.
Note: Jamani tufanye yote ila tukumbuke kifo.
Natania tu
Aidha, Mwenyekiti huyo amemueleza Dkt. Shein kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imechaguliwa kuwa kiongozi wa Uchaguzi Mkuu wa nchini Congo utakaofanyika mwezi Disemba mwaka huu.
Tatizo bado hajampenda "zaidi"Hahahahaha Mungu anampenda kila siku huyu. Sema hataki kupendeka.
Kweli kabisa chief. Ila huyu bwana hastahili lawama kabisa.Tatizo bado hajampenda "zaidi"