Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka

Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka

Ingekuwa ni Ngugi wa Thiong'o angeandika hivi:
JK: Haloo mzee...
Mkapa: Mzee salama nipe ripoti za uchaguzi.
JK: Huko Zenji mambo mazito bwana sawa nipe nusu saa...
Mkapa: Huko Zenji ndani ya ZEC Mzee Jecha vipi huku kukoje?
Jecha: Hali siyo kabisa.
Mkapa: Pumbavu kabisa! Ina maana hujui cha kufanya? Futa uchaguzi haraka!
Jecha: Sawa!
Mkapa: JK na wewe ni lofa kabisa! hHko Mwanza kuna mtoto kagoma kusaini. Ngoja na huko niende. Nchi hii haikupatikana kwa makaratasi!
 
sasa akagombee ubunge kupitia ccm

Alishawahi kugombea Jimbo la Kikwajuni Unguja Miaka ya Nyuma kabla ya kupata Kazi ya wito ya kusimamia Uchaguzi ambao kafanikiwa kudumisha Amani Visiwani Na kudumisha Muungano!
Mh. Magufuli AMPE Tuzo ya dhahabu Kama alivyowahi kuahidi
 
Ilikuwa tume huru iliyotokana iliyotokana na marekebisho ya katiba kukidhi matakwa ya Maalimu Seif kwamba 2/5 ya wajumbe watoķe CUF na 3/5 watoke CCM! Matokeo yake tuliyaona.
 
Back
Top Bottom