chrissleon
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 147
- 89
Sasa mvua ya siku moja ndio uishinde njaa aisee akili za watu weusi kwa mvua ya siku moja unaweza kuotesha nn?
Akili yako kama ya nyumbu tu.Sasa mvua ya siku moja ndio uishinde njaa aisee akili za watu weusi kwa mvua ya siku moja unaweza kuotesha nn?
Yes ni ya nyumbu tu,uwezo wako Wa kufikiria ndio umefikia mwisho hapoAkili yako kama ya nyumbu tu.
Una uhakika ni maombi? Can you rule out coincidence with certainty? Jiulize : Na kwa nini Mungu anapenda kubembelezwa? Kama kuongwa vile!!!Habari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
Mbona Moro ya hapa nilipo hamna mvua!? Au uko milimani?!
Amen RAHabari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
Hawajielewi hao Lumumba buku 7.mvua ya siku 1 huwezi kulima chochote wala kupandaYes ni ya nyumbu tu,uwezo wako Wa kufikiria ndio umefikia mwisho hapo