Hatimaye moja ya shtaka la Wakili Msomi Bashir Yakub limefanyiwa kazi na mtandao wa Vodacom!.

Kuliwa sasa basi. Enzi hizo ukiweka salio alafu umesahau kuzima data lazima jasho likutoke.

Big up Ndg Wakili
IMG_20191215_140327_788.jpeg


"Ruzige"
 
Afadhali maana tarehe 1 nakuwaga pressure iko juu juu, muajiri akiingiza muda wa maongezi tu kama hujazima data na hauna bundle wanalamba! 😀😀
 
Safi sana ilikua inaumiza sana,maana ilikua kabla hujaingiza vocha ni lazima uhakikishe data iko off bila hivyo inakula kwako.
 
Back
Top Bottom