Hatimaye MO Dewji aonekana hadharani kwa mara ya kwanza

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Hatimaye mfanyabiasha Mo Dewji ameswali swala ya Ijumaa katika msikiti uliopo mtaa wa Indira Gandi jijini Dar es salaam ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana hadharani tangu alipotelekezwa na watekaji katika viwanja vya Gymkhana Oktoba 20.
IMG_20181026_183516_643.jpeg
IMG_20181026_183724.jpeg
 
Back
Top Bottom