Hatimaye Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ahamishwa

Hatimaye Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ahamishwa

wamewawahi madiwani maana yangeibuka mengi pindi mkurugenzi atakapokua anajitetea
 
Kuhamishwa si hatua stahiki kwa mdadhirifu wa aina ya huyo Mkurugenzi, labda kama anashtakiwa ili liwe fundisho kwa wengine ningeunga mkono
 
attachment.php

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty amehamishwa. Bado haijajulikana sababu ya kuhamishwa kwake.

Hivi karibuni kumeibuka taarifa katika vyombo mbali mbali vya habari kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeuza Ufukwe wa Oysterbay (Coco Beach) kwa Kampuni ya Q-Consult, ambayo baadae ilikuja ikanyang'anywa kwamba imechelewa kuendeleza sehemu hiyo.
Sasa nasikia wamepewa matajiri wengine.

Ufukwe wa Oysterbay unaanzia katika eneo la Police Officers Mess hadi Barabara ya Kenyatta, upande wa Mashariki wa Barabara ya Toure. ambapo ndani ya ufukwe huo kuna eneo maarufu linaloitwa Coco Beach.

Kwa muda mrefu sana, ufukwe huo umekuwa ukitumiwa na wananchi wengi wa Jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kujipumzisha, kuogelea na wakati mwingine kufanyia mazoezi ya viungo ikiwamo mazoezi ya kutembea.

Hii hali ya Kuuzwa kwa Coco beach imezua sintofahamu nchini.

Stay tuned..

Magufuli alisema ukiharibu hakuna kuhamishwa.... ni KUFUKUZWA TU...

NAKATA nione hilo 😨👉🚶🚶🚶

Hajahamishiwa popote, hivi tunavyoongea yuko Segerea mahabusu.
 
Huyo mkurugenzi kosa lake ni kutangaza UKAWA kushinda majimbo yote Kinondoni!! maagizo ya chama...CCM ni ile ilee
 
Back
Top Bottom