OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Pinda hata asimikwe uchief na makabila yote bado hafai na atazidi kuwa dhaifu
Pinda hata asimikwe uchief na makabila yote bado hafai na atazidi kuwa dhaifu
yaani wewe ni miongoni mwa mambulula humu JF, kwenda kama ID yako, kuna shida gani kufafanua ulichoandika nkwani nimekuuliza kiungwana ukajibu kifedhuli bado nikashuka ikesha bado unakuja na vihoja vya dharau dharau
hapo ni kimila zaidi
hapanahaya asante mdau, yana uhusiano wowote na elimu yangu?
Utawala wa mapepo na wachawi umefika mwisho